mpinga shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,234
- 957
Na akatishia pia kumpeleka mahakamani Mbowe kwa kifo cha Wangwe. Basi Eddo na Freeman wakamatwe kwa uchunguziAlimkashifu lowasa kuhusu ugonjwa,mpaka akatishia kumshitaki mahakamani kwamba kwa nini anagombea wakati ni mgonjwa
Lowassa ni Mjenzi huru, huyu mtu hafai kuwa Rais.
Akawekwe anapostahiki.
Namsikitikia kuwa alikuwa hajajisalimisha kwa Muumba wake mpaka umauti unamfika.
Wewe Jee?
Mungu mkubwa,hadhihakiwi akakaa kimya.
Wenye kuona na waone utukufu wake.
Umejibu vizuri sana mkuuu ungekuwa jirani ningekupa offer ya lunch
Peopleeeez pawaaaaa
Hawa wanasiasa wasikuhizi nimithili ya wehu.
Badala ya kuhubiri sera, aman upendo na umoja wao wanafanya mambo ya ajabu.
1. Matusi
2. Masimango
3. Uzushi wa mambo yakufikirika
4. Kutabiria watu wengine maradhi na vifo
nk.
Akina Polepole, Bulembo, Nape,Mwigulu, J makamba nawengine waache upumbavu wakujadili afya za wengine na private matters.
Wajadili issues sio mtu na waache ujinga wa propaganda nasiasa za maji taka.
Isitoshe raia tunahitaji kusikiliza matatizo yetu yamsingi yatatatuliwa vipi
Elimu
Afya
Miundombinu
Uchumi.
Waache ujinga.
Mtu asije akakudanganya neno wasamehe na kuwaombea Baraka ndio laana yenyewe,unapo muombea adui yako Baraka,Mungu hugeuza baraka kuwa laana ndiyo maana hata Yuda mwenyewe alichukua kitanzi akajitundika pamoja na kuombewa msamaha na Yesu.
Siamini kama na wewe umeamua kuwa mtu wa siasa nyepesi kiasi hiki.Angalia wale unaowaona ni watu sahihi kwako,ambao walifika bei na kusaliti safari ya ukombozi mbele ya watanzania wanavyoanza kutenda kinyume na kile walichotuaminisha.Dk.alisema ameachana na siasa za majukwaani,alisahau kuwa yeyeni mpiga zumari tu ambaye hawezi kujichagulia apige wimbo upi.sasa wanaomtumia wamemtaka arudi jukwaani akafanye kile wanachopenda kukiona na kukisikia.Subiri kuanzia 7/10/2015,utabaki kinywa wazi kwa kutoamini utayoyasikia kutoka ktk kinywa kilekile cha mtu unayemuamini ambaye alifika bei na sasa analipa ghalama alizopewa.
katika Vitabu vitakatifu Mungu amekuwa akitoa ishara nyingi nyingi sana. Na hii leo anasema na Watanzania kwa namna tofauti kabisa ya kuondokewa na mwanasiasa mwenye chachu kabisa katika Siasa za Vyama vingi. Hebu kaa dakika moja mkumbuke Mch.Mtikila, Kumbuka siasa za Mtanganyika, Kumbuka siasa za --------- na mengine mengi.
Mungu anasema kwa ishara mabalimbali kipindi hiki cha uchaguzi, matukio mengi sana yametokea hapa Tanzania na duniani yakitukumbusha sisi ni mavumbi tu. Nikipindi ambacho Tunakumbushwa kurudi Miskitini na makanisani kusiliza sauti ya Mungu na kuzitambua ishara hizi kwa unyeyekevu mkubwa. Mungu anatukumbusha kujali maskini,Watu wenye njaa, na wagonjwa mbalimbali. Mungu anatukumbusha si kwa akili zetu tumepata dhamana kuliongoza taifa hili bali yeye mwenyewe ndio kafanya yote haya.
Mungu anatukumbusha Gas Mafuta na madini ni mali yake na vitumie kwa utukufu wake kwa kuhudumia watu wenye mahitaji zaidi. Mungu anatukumbusha Mikataba ya madini/Gas iwekwe wazi ili iwafikie walengwa wake. Mungu anatukumbushaTuache rushwa na ufisadi,Tutubu zambi zetu na Tujenge taifa kwa kizazi kijacho.
Mungu ameota ishara hizi ila kila mwanadamu apate kumjua yeye ndie Mungu Muumba wa Taifa hli.
1.Lowassa Kuhama CCM
2.Magufuri kuwa Mgombea Urais
3.Lipumba Kuacha siasa
4.Dr Slaa kuacha Siasa
5.Halima mdee na Mbatia kwenye Jukwaa moja.
6.Tanzania kuwa giza wakati wa uchaguzi
7.Vyama vinne kusimamisha mgombea
8.Rais kupiga campaign
9.Hotuba za Nyerere kutamba katika jukwaa la upinzani.
10.Kwa mara ya kwanza Watanzania hawajui nani atashinda uchaguzi.
11.Campaign bila kept.Komba.
ukiangalia kwa mbali utaona ni vitu vidogo sana lakini ukirudi utakuta mabadiliko makubwa sana katika radha ya siasa za Tanzania. kwa ujumla kifo cha mtikila ni pigo zito sana katika radha ya siasa ya vyama vingi. R.I.P
Queen Esther naomba usisumbuke kubishana na wajinga.
Watu wanataa kututisha mtu asisemwe kile alicho nacho. Lowasa ni mgonjwa kama wagonjwa wengne. Fidel castro baada ya kuandamwa na magonjwa aliamua kukabidhi madaraka kwa mdogo wake. Sasa kama urais unatakiwa mtu mgonjwa kwann aliamua kuacha madaraka?