TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani


Mkuu jana walikupiga Ban nini baada ya ule uzi wetu "Mr. President is Back" kushamiri? Maana sikuuona tena baada ya muda.
 
Hasa kipande cha kutoka mlandizi kuelekea chalinze, unaona kabisa mnachora z barabarani.

Waziri husika awajibishwe kwa hili.
Hicho kipande ni hatari sana!! Kinatisha hasa kama driver sio mwenyeji!!
Hivi huwa hakuna hela za kurepair barababra kubwa na muhimu? Strange??
Hii ajali imetokea Mungu ailaze mahali pema roho ya mpiganaji, du bado siamini
 
Hii pole itawaumiza wanafamilia kuliko msiba wenyewe!

Ni kweli,kutokana na dharau ya Marehemu kwa Lowassa,na Lowassa kutoendekeza chuki!
Naamini Lowassa si mlipa visasi
 
Nimepokea kwa masikitiko sana kifo cha Mch.Christopher Mtikila. Natoa pole kwa familia na chama cha DP.

Bwana Ametoa. Bwana Ametwaa.

Source:twitter:edwardlowassatz

Kamwambie amurudishe dunia pepo mkubwa
 
Mchawi utajua tu mtoto wa jirani akimfanyia madingo ndo wa kwanza kupiga mayowe,
 
mbona kawahi hivyo tehteh Mungu anajua nani kamuua mchungaji siwezi kumhukumu mtu ila kifo hiki ni cha kutengenezwa
 
Huyu bint nina mashaka na ubinti wako. Maana mabinti wengi wanajielewa. Na sii kila kitu kwenye maisha ni siasa.. Jitambue
 
Yani aue alafu akatoe pole? Machozi Ya mamba
Nchi hii ina siasa za kitoto sana is like kifo cha chacha wangwe, dereva alimtafuta mwenyewe tena rafiki yake speed ikamshinda akagonga mti lakini wakasema chadema wameua try tobe mature.
 
R.I.P Mchungaji Mtikila poleni wale wotee walioguswa na msiba huu nikiwemo na mimi kama Mtanzania mwenzie..
 
"A man maybe sick in body, but yet a friend of God" by T.B Joshua
 
Mungu amjalie afya na busara aweze jua wtz wanamtegemea na yote anayofanyiwa mungu anaona natatenda mahukum yake hapahapa duniani
 
Mkuu jana walikupiga Ban nini baada ya ule uzi wetu "Mr. President is Back" kushamiri? Maana sikuuona tena baada ya muda.


Yeah Mkuu...

Ban ya Maisha...!!!

Date lifted: NEVER... JF wana hasira..

Anyway.. natumia maneno ya upole, coz am FULL, once nikishusha NONDO hapa JF watanifungia tena...!!!

What remains is to pray, Lowassa awe Rais wetu...!!!

JF wanajua nikifunguka, wanaungua sana...!!!
 
Mbona hakutoa pole kwa kifo kile cha jamaa wa lushoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…