Huyu ndie Rais sasa...!!!
Lowassa hakika umejaliwa HEKIMA, UVUMILIVU NA BUSARA KUBWA SANA... wengi Mungu katunyima...!! Mungu kakupa wewe vitu vingi ambavyo wengi tumekosa...!!
Hongera Rais wetu mtarajiwa...!!!
You touched our souls, hearts and daily lifes ni POSITIVE WAYS... na kujifunza mengi kutoka kwako Baba Lowassa...!!!
Mtikila alikutukana sana, Ila bado umemuombea kwa Mungu amlaze pepa peponi...
Wewe ni zaidi ya Rais...!!! tukomboe baba kwa hali mbaya sana Watanzania walio nayo..!!! Mioyo na Roho zetu ziko na wewe Baba Lowassa....!!!
Mungu akupe yote utakayo Baba Lowassa...!!!
Mkuu jana walikupiga Ban nini baada ya ule uzi wetu "Mr. President is Back" kushamiri? Maana sikuuona tena baada ya muda.