Bukama Batoko
JF-Expert Member
- Apr 27, 2015
- 820
- 137
kabisa yani
Labda hupendi kunielewa .am always fair mkuu
katika Vitabu vitakatifu Mungu amekuwa akitoa ishara nyingi nyingi sana. Na hii leo anasema na Watanzania kwa namna tofauti kabisa ya kuondokewa na mwanasiasa mwenye chachu kabisa katika Siasa za Vyama vingi. Hebu kaa dakika moja mkumbuke Mch.Mtikila, Kumbuka siasa za Mtanganyika, Kumbuka siasa za --------- na mengine mengi.
Mungu anasema kwa ishara mabalimbali kipindi hiki cha uchaguzi, matukio mengi sana yametokea hapa Tanzania na duniani yakitukumbusha sisi ni mavumbi tu. Nikipindi ambacho Tunakumbushwa kurudi Miskitini na makanisani kusiliza sauti ya Mungu na kuzitambua ishara hizi kwa unyeyekevu mkubwa. Mungu anatukumbusha kujali maskini,Watu wenye njaa, na wagonjwa mbalimbali. Mungu anatukumbusha si kwa akili zetu tumepata dhamana kuliongoza taifa hili bali yeye mwenyewe ndio kafanya yote haya.
Mungu anatukumbusha Gas Mafuta na madini ni mali yake na vitumie kwa utukufu wake kwa kuhudumia watu wenye mahitaji zaidi. Mungu anatukumbusha Mikataba ya madini/Gas iwekwe wazi ili iwafikie walengwa wake. Mungu anatukumbushaTuache rushwa na ufisadi,Tutubu zambi zetu na Tujenge taifa kwa kizazi kijacho.
Mungu ameota ishara hizi ila kila mwanadamu apate kumjua yeye ndie Mungu Muumba wa Taifa hli.
1.Lowassa Kuhama CCM
2.Magufuri kuwa Mgombea Urais
3.Lipumba Kuacha siasa
4.Dr Slaa kuacha Siasa
5.Halima mdee na Mbatia kwenye Jukwaa moja.
6.Tanzania kuwa giza wakati wa uchaguzi
7.Vyama vinne kusimamisha mgombea
8.Rais kupiga campaign
9.Hotuba za Nyerere kutamba katika jukwaa la upinzani.
10.Kwa mara ya kwanza Watanzania hawajui nani atashinda uchaguzi.
11.Campaign bila kept.Komba.
ukiangalia kwa mbali utaona ni vitu vidogo sana lakini ukirudi utakuta mabadiliko makubwa sana katika radha ya siasa za Tanzania. kwa ujumla kifo cha mtikila ni pigo zito sana katika radha ya siasa ya vyama vingi. R.I.P
Duh! ............... MAADUI WALIKUWA WANAMFUATILIA KWA NYUMA.......... ALIPOJISHTUKIA AKAONGEZA SPIDI.............. NAO WAKAFURAHI NA KUZIDI KUMFUKUZA! ................... WALIPOFIKA SEHEMU HATARISHI, YENYE KONA NYINGI NYINGI, WALIMUOVATEKI KWA SPIDI KALI NA KUMTWANGA 'LASER BEAM' YA MACHONI ................!
Ni kosa kudhihaki au kuhukumu, kwa kutoa lugha za kashfa lakini si kosa ku criticise afya ya mkombea kwa nafasi ya urais..Taifa letu linaitaji rais mwenye afya njema physically and mentally ili aweze kutimiza majukumu yake vizuri. Hilo si kosa na its a constructive criticism, hayo mengine yakuitana marehemu, jeneza sasa hapo ni kuvuka mipaka. Maoni yangu ni kwamba Lowassa is not physically fit to be a president. Hata mikutano kuhutubia mfano umoja wa mataifa amesimama kwa saa moja au bunge ataweza? hiyo ni kasoro nani bora angepumzika kuangalia afya yake na aishi maisha ya amani na furaha.Hapa ndio tunakumbushwa kuwa ni Mungu pekee ndie anayejua kesho,na usimuhukumu mwenzako eti kesho atakufa kwa tu yu mgonjwa na wewe u mzima.
Tunajua nguvu ya mafisadi inavyofanya kazi ...lakini itashindwa tu
Kwa hiyo Mungu kaanzisha chama cha siasa? Acheni ulofa wenu ninyi. Ujuaji wa Kuchanganya Dini Na Siasa ni ulofa uliopitiliza. Alivyofariki marehemu Mtoi (may his soul rest in peace) Mungu alikuwa wapi? Muache kuleta siasa kwenye imani za watu.
kingunge live ITV anataka kutoa ya moyoni
Soma Majira Na Nyakati Mdogo wangu, usikurupuke Kwa kuaminishwa ujinga na watawala, rudi kwenye vitabu vya Mungu usome neno Majira. Ikifika imefika majira ya Upinzani Kuchukua Nchi Yameshafika. Au Mlidhani Kakobe Alipo mwandikia Mh Rais Waraka Mlindani ni utani? ndiyo mpate Akili Kwamba Tanzania ni Ya Mungu na sio ya ccm.