katika Vitabu vitakatifu Mungu amekuwa akitoa ishara nyingi nyingi sana. Na hii leo anasema na Watanzania kwa namna tofauti kabisa ya kuondokewa na mwanasiasa mwenye chachu kabisa katika Siasa za Vyama vingi. Hebu kaa dakika moja mkumbuke Mch.Mtikila, Kumbuka siasa za Mtanganyika, Kumbuka siasa za --------- na mengine mengi.
Mungu anasema kwa ishara mabalimbali kipindi hiki cha uchaguzi, matukio mengi sana yametokea hapa Tanzania na duniani yakitukumbusha sisi ni mavumbi tu. Nikipindi ambacho Tunakumbushwa kurudi Miskitini na makanisani kusiliza sauti ya Mungu na kuzitambua ishara hizi kwa unyeyekevu mkubwa. Mungu anatukumbusha kujali maskini,Watu wenye njaa, na wagonjwa mbalimbali. Mungu anatukumbusha si kwa akili zetu tumepata dhamana kuliongoza taifa hili bali yeye mwenyewe ndio kafanya yote haya.
Mungu anatukumbusha Gas Mafuta na madini ni mali yake na vitumie kwa utukufu wake kwa kuhudumia watu wenye mahitaji zaidi. Mungu anatukumbusha Mikataba ya madini/Gas iwekwe wazi ili iwafikie walengwa wake. Mungu anatukumbushaTuache rushwa na ufisadi,Tutubu zambi zetu na Tujenge taifa kwa kizazi kijacho.
Mungu ameota ishara hizi ila kila mwanadamu apate kumjua yeye ndie Mungu Muumba wa Taifa hli.
1.Lowassa Kuhama CCM
2.Magufuri kuwa Mgombea Urais
3.Lipumba Kuacha siasa
4.Dr Slaa kuacha Siasa
5.Halima mdee na Mbatia kwenye Jukwaa moja.
6.Tanzania kuwa giza wakati wa uchaguzi
7.Vyama vinne kusimamisha mgombea
8.Rais kupiga campaign
9.Hotuba za Nyerere kutamba katika jukwaa la upinzani.
10.Kwa mara ya kwanza Watanzania hawajui nani atashinda uchaguzi.
11.Campaign bila kept.Komba.
ukiangalia kwa mbali utaona ni vitu vidogo sana lakini ukirudi utakuta mabadiliko makubwa sana katika radha ya siasa za Tanzania. kwa ujumla kifo cha mtikila ni pigo zito sana katika radha ya siasa ya vyama vingi. R.I.P
na je tukimchagua mzima na baada ya kama wiki moja akapatwa na maradhi akiwa ikulu inakuaje?
Huyu Mungu anayesimama na Mkiti wa waganga wa kienyeji kumnadi mgombea fulani linaleta,utata.
Queen Esther
Duh kweli Mungu yuko
mwaka huu hatari sana ukiangaliapicha ya mtikila hana hata jeraha alafu gari sasa halifai hapa kuna shida siamin kama ni ajali nahis wamemnyonga wakatengeneza ajali,huyu jamaa huyu sijui kwa nn historia inaonyesha ukimtaja tu kwa vyombo vya habar jua tu ukikoswa na kifo au ufe anzia richmond utaona,na alikuwa anaenda itv kutoa taarifa muhimu sana.
Umeshasema tukimchagua mzima na baada ya wiki akapata maradhi. Jibu ni kuwa tunachagua mzima tena. Utachaguaje Rais wa nchi anavaa pampas kama mtoto mdogo,tusitishane ni mgonjwa hafai kuwa Rais wa Tz.waambieni hao kina Gwajima na yule wa Nigeria waje wanitoe roho
Wakati mwingine hututakiwa kujisahau kama Mtikila pamoja ameshakufa lakini alimutukana sana Lowasa kwamba ni jeneza ambalo linaembelea leo Lowasa yupo mzima kabisa anaendelea na kampeni zake za kusaka kura sasa wote mnajiona mmekamilika mnatakiwa kujifunza kupitia hawa-
Komba alimtukana sana Warioba leo yuko wapi?
Celina kombani alimtukana sana Lowasa leo yuko wapi?
Katibu wa wilaya ya ilala aliyetoa maneno ya kufuru sana kuhusu Lowasa yuko wapi leo?
Muigizaji wa orijino komedi Vengu aliyekuwa anamwigiza Mrema kama mgonjwa wa sukari yupo kitandani mwakA wa ngapi?
Mtikila ambaye majuzi alikuwa start tv akimtukana Lowasa na kusema Lowasa ni mgonjwa na mengine mengi yuko wapi?
Hakika mwacheni Mungu aitwe Mungu poleni sana wafiwa wote.
Huenda huyo anayeitwa mgonjwa ndio anawamaliza ndugu zetu kwa kuficha aibu yake!
Mkuu Mimi sipati jibu watu walisema papa john Paulo ni mgojwa hawakuga eti ukisema lowasa ni mgojwa unakufa? Hii sielewi kabisa,
Ni aibu hata kukujibu. Kwa hiyo mungu hawezi kuanua nani afe nani abaki.!?Nyie badala ya kuangalia mienendo yenu na kuchunga ndimi zenu mnaanzisha propaganda . Mungu adhihakiwi mtaisha wote pumbavu[/QUOTE
Wewe ni agent wa mashetani ya mgombea wenu ndo maana unashangilia wapinzani wake anaowamaliza kwa nguvu za Giza,
r.i.p mchungaji mtikila
Mtikila hawezi kwenda Peponi sababu ya vi-RIP vichache vya JF.