TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

Mungu alimuumba binadamu kwa mfano wake,naye ndiye humtunza apendavyo. Mseme mtu kwa vitendo vyake kwa ukweli lakini siyo kwa mwili wake.Sasa watatu wameshatangulia kwenye haki kwa sababu ya maneno yao,Nawaswas kama Mungu ameamua kutuonyesha haya naona mpaka mwisho wa mwaka huu wengi sana watatangulia kwa sababu ya kutotumia midomo yao vizuri kama anavyotaka.
 
Christopher Mtikila apunzishwe anapostahili! Katika miaka ya mwisho ametumia kipaji chake kwa maslahi machafu yaliyo mwondolea heshima yake ya awali.
 
katika Vitabu vitakatifu Mungu amekuwa akitoa ishara nyingi nyingi sana. Na hii leo anasema na Watanzania kwa namna tofauti kabisa ya kuondokewa na mwanasiasa mwenye chachu kabisa katika Siasa za Vyama vingi. Hebu kaa dakika moja mkumbuke Mch.Mtikila, Kumbuka siasa za Mtanganyika, Kumbuka siasa za --------- na mengine mengi.

Mungu anasema kwa ishara mabalimbali kipindi hiki cha uchaguzi, matukio mengi sana yametokea hapa Tanzania na duniani yakitukumbusha sisi ni mavumbi tu. Nikipindi ambacho Tunakumbushwa kurudi Miskitini na makanisani kusiliza sauti ya Mungu na kuzitambua ishara hizi kwa unyeyekevu mkubwa. Mungu anatukumbusha kujali maskini,Watu wenye njaa, na wagonjwa mbalimbali. Mungu anatukumbusha si kwa akili zetu tumepata dhamana kuliongoza taifa hili bali yeye mwenyewe ndio kafanya yote haya.

Mungu anatukumbusha Gas Mafuta na madini ni mali yake na vitumie kwa utukufu wake kwa kuhudumia watu wenye mahitaji zaidi. Mungu anatukumbusha Mikataba ya madini/Gas iwekwe wazi ili iwafikie walengwa wake. Mungu anatukumbushaTuache rushwa na ufisadi,Tutubu zambi zetu na Tujenge taifa kwa kizazi kijacho.

Mungu ameota ishara hizi ila kila mwanadamu apate kumjua yeye ndie Mungu Muumba wa Taifa hli.
1.Lowassa Kuhama CCM
2.Magufuri kuwa Mgombea Urais
3.Lipumba Kuacha siasa
4.Dr Slaa kuacha Siasa
5.Halima mdee na Mbatia kwenye Jukwaa moja.
6.Tanzania kuwa giza wakati wa uchaguzi
7.Vyama vinne kusimamisha mgombea
8.Rais kupiga campaign
9.Hotuba za Nyerere kutamba katika jukwaa la upinzani.
10.Kwa mara ya kwanza Watanzania hawajui nani atashinda uchaguzi.
11.Campaign bila kept.Komba.
ukiangalia kwa mbali utaona ni vitu vidogo sana lakini ukirudi utakuta mabadiliko makubwa sana katika radha ya siasa za Tanzania. kwa ujumla kifo cha mtikila ni pigo zito sana katika radha ya siasa ya vyama vingi. R.I.P

tanzania in dilemma after over 50 yrs of independence
 
GARI YA MGOMBEA UBUNGE WA CHADEMA JIMBO LA NYASA LAPINDUKA;

Ni Kamanda Ngwata kapata ajali mbaya baada ya dereva wake kuingia porini na kusababisha kifo cha Kamanda Pompi kutoka Mbozi Mbeya ambaye alikuwa huko kikazi.

Kamanda Ngwata na Dereva wake wamejeruhiwa na wako hospitali ya Wilaya ya Nyasa kwa matibabu lakini taarifa nilizopata sasa Mgombea wako njiani kumuamishia Litembo Hospital hali yake ni mbaya na amekata kauli.

Ilikuwa ni usiku na.walikuwa wanaelekea kijijini kwa ajili ya kampeni za leo na inasemekana kuwa watu watatu wenye silaha walitaka kuwateka njiani katika kukabiliana na hilo ndio Dereva akayumba na gari likaingia korongoni...

Tutazidi kuwajuza...
Mungu Amlaze Mahali Pema Peponi Kamanda aliyetutoka na apate kuwapa ahueni majeruhi ili wapone....

.....Sijui jaye alimtukana Mamvi kuwa ni mgonjwa?
 
Mungu amrehemu.Ila kwa haraka inaonekana mch .hakuwa amefunga mkanda wa usalama ndani ya gari ndo maaana katupwa nje ya usafiri huo.tafadhali pamoja na kumtanguliza mungu mbele ktk safari zetu pia tuzingatie sheria na usalama kazini/barabarani.
 
…na je tukimchagua mzima na baada ya kama wiki moja akapatwa na maradhi akiwa ikulu inakuaje?…

Umeshasema tukimchagua mzima na baada ya wiki akapata maradhi. Jibu ni kuwa tunachagua mzima tena. Utachaguaje Rais wa nchi anavaa pampas kama mtoto mdogo,tusitishane ni mgonjwa hafai kuwa Rais wa Tz.waambieni hao kina Gwajima na yule wa Nigeria waje wanitoe roho
 
Kwa mujibu wa abiria mwenzake na Mtikila (ambaye ni majeruhi) amesema kuwa mwendokasi wa dereva wakati ana overtake lori ndio uliomlazimisha dereva "kulitupa" gari nje barabara ili kukwepa lori lililokuwa mbele yao. Mchungaji Mtikila hakufunga mkanda baada ya kujaza mafuta Morogoro hadi ajali ilipotokea. Dereva anashukiliwa na polisi. Source ITV habari ya saa 2 usk
 
Wakati mwingine hatutakiwa kujisahau kama Mtikila pamoja ameshakufa lakini alimutukana sana Lowasa kwamba ni jeneza ambalo linalombelea leo Lowasa yupo mzima kabisa anaendelea na kampeni zake za kusaka kura sasa wote mnajiona mmekamilika mnatakiwa kujifunza kupitia hawa-
Komba alimtukana sana Warioba leo yuko wapi?
Celina kombani alimtukana sana Lowasa leo yuko wapi?
Katibu wa wilaya ya ilala aliyetoa maneno ya kufuru sana kuhusu Lowasa yuko wapi leo?
Muigizaji wa orijino komedi Vengu aliyekuwa anamwigiza Mrema kama mgonjwa wa sukari yupo kitandani mwakA wa ngapi?
Mtikila ambaye majuzi alikuwa start tv akimtukana Lowasa na kusema Lowasa ni mgonjwa na mengine mengi yuko wapi?





Hakika mwacheni Mungu aitwe Mungu poleni sana wafiwa wote.
 
mwaka huu hatari sana ukiangaliapicha ya mtikila hana hata jeraha alafu gari sasa halifai hapa kuna shida siamin kama ni ajali nahis wamemnyonga wakatengeneza ajali,huyu jamaa huyu sijui kwa nn historia inaonyesha ukimtaja tu kwa vyombo vya habar jua tu ukikoswa na kifo au ufe anzia richmond utaona,na alikuwa anaenda itv kutoa taarifa muhimu sana.

Inavyoonekana upande fulani wa siasa unataka kutembelea juu ya ajali hii kuwabeza wenzao, tuwe na tabia ya kufuata facts na sio uahirikina ooh fulani anahusika, kwanini anasema mbona wenzake hawajafa, mara mbona mbona huyu anamsupport fulani kwa siasa ni uadui? Kwamba ukimsupport fulani ndio msifanye kazi pamoja? Ccm acheni utumwa utafikiri Mtikila ndio wa kwanza kupata ajali? Na mbona zingine hamuhoji? Subirini taarifa ya uchunguzi wa polisi na postmortem report then kama kuna mtu kahusika apelekwe mahakamani, now if you don't have evidence shut up and keep quiet
 
Umeshasema tukimchagua mzima na baada ya wiki akapata maradhi. Jibu ni kuwa tunachagua mzima tena. Utachaguaje Rais wa nchi anavaa pampas kama mtoto mdogo,tusitishane ni mgonjwa hafai kuwa Rais wa Tz.waambieni hao kina Gwajima na yule wa Nigeria waje wanitoe roho

Kura za October 25 ndizo zitakazoamua au ndio una-refer report ya Twaweza?
 
Mbna Mnamuhurumia Sana Lowassa, Kila Anayemsema Kama Kawa Nyoso Vile, Wajinga, Ni Mgonjwa,
 
Wakati mwingine hututakiwa kujisahau kama Mtikila pamoja ameshakufa lakini alimutukana sana Lowasa kwamba ni jeneza ambalo linaembelea leo Lowasa yupo mzima kabisa anaendelea na kampeni zake za kusaka kura sasa wote mnajiona mmekamilika mnatakiwa kujifunza kupitia hawa-
Komba alimtukana sana Warioba leo yuko wapi?
Celina kombani alimtukana sana Lowasa leo yuko wapi?
Katibu wa wilaya ya ilala aliyetoa maneno ya kufuru sana kuhusu Lowasa yuko wapi leo?
Muigizaji wa orijino komedi Vengu aliyekuwa anamwigiza Mrema kama mgonjwa wa sukari yupo kitandani mwakA wa ngapi?
Mtikila ambaye majuzi alikuwa start tv akimtukana Lowasa na kusema Lowasa ni mgonjwa na mengine mengi yuko wapi?





Hakika mwacheni Mungu aitwe Mungu poleni sana wafiwa wote.

Huenda huyo anayeitwa mgonjwa ndio anawamaliza ndugu zetu kwa kuficha aibu yake!
 
Mkuu Mimi sipati jibu watu walisema papa john Paulo ni mgojwa hawakuga eti ukisema lowasa ni mgojwa unakufa? Hii sielewi kabisa,


Wanajaribu Kutishia Watu Tu. Kifo cha Mch. Mtikila Hakihusiani na Yeye Kumkosoa Lowassa Maana Mungu wetu hafanyi Kazi Kiushabiki


  1. WaTanzania Wengi Wanaamini Sana Ushirikina na Ndio Maana Wanabaki Nyuma. Ajali Nyingi Tanzania Zinazuilika Hasa Kama Tutaacha Kuziita Ajali na Kuzichunguza Vyanzo Vyake Kisayansi.
  2. Mungu Ametupa Akili Ili Tuzitumie Kutatua Mambo Yetu Mengi Mabaya. Tutumie Hizo Akili Mpaka Itakaposhindikana Badala ya Kulaumu Imani Zisizo na Msingi.
  3. Sina Nia ya Kumlaumu Marehemu Mch. Mtikila, Lakini Sijui Kama Hilo Gari Lilikuwa Road Worth na Pia Kama Seat Belts Zilitumika, Maana Nimeona Ajali Mbaya Zaidi Ya Hiyo Ambapo Watu Watoka Wazima Kabisa. Tufunge Mikanda, Inaokoa Sana Maisha - Sayansi Imelithibitisha Hilo.
  4. Tanzania Tuanze Kutumia Zaidi Sayansi Kutafuta Ufumbuzi Wa Ajali Zetu Ili Tuweze Kuziepuka.

Pope John Paul II Once Said - 'Science can purify religion from error and superstition. Religion can purify science from idolatry and false absolutes."

R.I.P Mch. Mtikila


 
Nyie badala ya kuangalia mienendo yenu na kuchunga ndimi zenu mnaanzisha propaganda . Mungu adhihakiwi mtaisha wote pumbavu[/QUOTE

Wewe ni agent wa mashetani ya mgombea wenu ndo maana unashangilia wapinzani wake anaowamaliza kwa nguvu za Giza,
Ni aibu hata kukujibu. Kwa hiyo mungu hawezi kuanua nani afe nani abaki.!?
 
Mtikila hawezi kwenda Peponi sababu ya vi-RIP vichache vya JF.

Hiyo pepo ya mafuriko ya RIP ni ya UKAWA. Kwa Mungu wa kweli hakuna kura, bali njia ni nyembamba na waingiao humo ni wachache.
 
R.I.P mpambanaji mtikila C. nitakukumbuka sana kwa harakati zako za kutetea wanyonge
na pia kuwa mtu "unayenunua kesi" kwa niaba ya mtu au watu wanao onewa. Yaani wewe ulikuwa
huogopi kesi bali kesi zinakuogopa wewe, waendesha mashtaka walikuwa mtumbo joto ukisimama nao kizimbani.
vijana wako wa sheria tuta kukumbuka sana kwani ulikuwa ni case study kwetu katika masomo yetu.

Pia nitakukumbuka kwa kile kisanga chako na yule polisi aliyetaka kukukamata siku ile
pale mahakamani , ukamwambia kuwa wewe hukamatwi na askari mdogo kama huyo bali .
unapigiwa simu na IGP au waziri wa mambo ya ndani , na unaenda mwenyewe bila shurti.

Bendera ya Tanganyika nyumbani kwa marehemu mtikila christopher.
Mpigania Tanganyika.....
3X6A0289.jpg

R.I.P mtikila.
 
Back
Top Bottom