TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

Nimepata taarifa za itv hivi punde mtikila amefaliki dunia kutokana na ajali tujitahidi kuchunga ndimi zetu kwani hatuijui kesho
Point ni kuwa kuna watu ukikosana nao,jiandae kwa ajali. Ref: ajali ya mwakyembe,ajali ya Salome (rip)/zitto, ajali ya wangwe (rip).
 
Chinembe ni Mungu yupi huyo????? Mungu ni wa rehema na hataki hata mmoja apotee.

Kama huyo Mungu wa Lowasa anaua kila atakayemsema basi atauwa watu wengi sana. Lile kusudi la kazi ya msalaba litakuwa limefitinika.

Bwana wetu Yesu Kristo alifanyiwa kila namna ya uovu akasema Baba wasamehe hawajui wafanyalo. Huyo Mungu wa kulipiza papo kwa papo !!!!!!! Mh!!!!! Wapi kazi ya MSALABA???

Damu zilizomwagika hata sasa kama ni mapenzi ya Mungu zitaenda kwa AMANI. Kama ni umafya na ushirikina basi tegemeeni KISASI cha Bwana.

Queen Esther


Kazi ya kuua ni ya shetani, ipo hivi, unapoanza kukashifu watu malaika wa ulinzi wanakuacha wanakaa mbali na wewe, na hapo ndipo shetani anapopata nafasi ya kupiga penati wakati hakuna golikipa.
 
mara ya mwisho kumuona mtikila kwenye tv,alidai lowasa hafai atafia ikulu.
 
Fundisho kwa wale anaokejeli afya za watu wanasahau kuwa mungu ndyo anatoa afya...
 
Nawatadharisha akina Nape,bulembo wamuombe lowasa msamaha haraka na wengine waliosema atakufa
 
Kazi ya Mungu haina makosa apumzike kwa Amani Mchungaji mtikila!!!!
 
Kama kweli aliwahi kumdhihaki Lowasa kwa suala la afya, let him go to the hell. No worries, no sympathy, no regret, no loss, no condolences,.. . who cares if one gamba or associate of the Gambaz vanish?
 
Kweli Mungu hamfichi mnafiki, huyu bwana alikuwa anamsakama lowasa kuwa no mgonjwa!.....polepole umeisikia hii
 
Huyu alimtukana Lowassa bila sababu, Mungu mkubwa
 
Alimkashifu lowasa kuhusu ugonjwa,mpaka akatishia kumshitaki mahakamani kwamba kwa nini anagombea wakati ni mgonjwa

Kweli ndugu yangu,Akiwa StarTv kipindi cha tuongee asubuhi, Mchungaji aliongea maneno mabaya sana juu ya Lowasa kana kwamba yeye ni Mungu. Nilimshangaa sana halafu anajiita mchungaji. Mungu amsamehee kwa vile hakujua alichokuwa anasema. Kifo au ugonjwa ni kazi ya Mungu na Mungu pekee ndiye aliyeijua kesho. Mungu hadhihakiwi hata kidogo. Usije ukajiona mwenye hekima mbele za Mungu.
 
Kama Tume wangempitisha kuwa Mgombea Urais na hatimaye kifo chake, maana yake uchaguzi ungeahirishwa. Ila kwa sasa ni mbele kwa mbele

Kwa sasa Tume wanajilaum ni bora wangempitisha. Wangepumua kidogo na wale watani wetu wa jadi!!
 
Back
Top Bottom