Platnam
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 769
- 1,237
Umetoka shimo gani?Mtaanza kufa nyie mtamuacha mtikila,hizo story za watoto waliozaliwa ktk uongozi wa mkapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umetoka shimo gani?Mtaanza kufa nyie mtamuacha mtikila,hizo story za watoto waliozaliwa ktk uongozi wa mkapa
Nilivyoona suspenders nimeamini.Duuuuh Nyanya lakini zimesalimika naona zimemwagika hazija pondeka.brief case pembeni Kama kawa
Point ni kuwa kuna watu ukikosana nao,jiandae kwa ajali. Ref: ajali ya mwakyembe,ajali ya Salome (rip)/zitto, ajali ya wangwe (rip).Nimepata taarifa za itv hivi punde mtikila amefaliki dunia kutokana na ajali tujitahidi kuchunga ndimi zetu kwani hatuijui kesho
Chinembe ni Mungu yupi huyo????? Mungu ni wa rehema na hataki hata mmoja apotee.
Kama huyo Mungu wa Lowasa anaua kila atakayemsema basi atauwa watu wengi sana. Lile kusudi la kazi ya msalaba litakuwa limefitinika.
Bwana wetu Yesu Kristo alifanyiwa kila namna ya uovu akasema Baba wasamehe hawajui wafanyalo. Huyo Mungu wa kulipiza papo kwa papo !!!!!!! Mh!!!!! Wapi kazi ya MSALABA???
Damu zilizomwagika hata sasa kama ni mapenzi ya Mungu zitaenda kwa AMANI. Kama ni umafya na ushirikina basi tegemeeni KISASI cha Bwana.
Queen Esther
usitanie mkuuNimeona picha za ajali. He is gone
jamani dhibitishe kwanza,mbona kama uzushiKwanini ufungwe?
Alimkashifu lowasa kuhusu ugonjwa,mpaka akatishia kumshitaki mahakamani kwamba kwa nini anagombea wakati ni mgonjwa
Kama Tume wangempitisha kuwa Mgombea Urais na hatimaye kifo chake, maana yake uchaguzi ungeahirishwa. Ila kwa sasa ni mbele kwa mbele