dennmatth
Senior Member
- Mar 25, 2010
- 179
- 142
Dah ccm ni wagumu kuelewa hata watu wa ukawa wakianza kuwaita watu wa ccmmaiti wanaotembea mungu anaweza kuwapa somo na fundisho. Kwa kifupi rufanye siasa za sera na policy. Mambo ya nani mgonjwa atafia ikulu au bungeni. Hiyo kazi tumuachie mungu
''sera na policy''??!!! anyway uccm imekujaje ktk hili? au ukisikia ukawa lazima ulete uccm? mimi nimezungumzia kazi ya mungu wa ukawa we unaleta habari ya uccm. mimi siko hapa kuzungumzia u-ccm wala u-chadema wala u-cuf n.k, my point is, kazi ya 'MUNGU' sio kuua hovyo kama unavyoamini mkuu, kama ni hivyo kila atakayemsema ENL atakufa? hebu tuone kuwa, wengine siku zao zilikuwa zimefika. ila kama unaendelea kuamini kuwa kazi ya 'mungu' wa ukawa ni kuua nakubaliana na wewe.