TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

Kwani Mtikila alimuombea nini Lowasa? Acheni hizo. Mtikila alikuwa anasema kweli tupu kuhusu Lowasa. Ndo maana wameamua kumuua

Ficha ujingawako mkuu,unawezakusema ukweli kua binadamu mwenzako ni jeneza anaetembea?sasa kama alisema ukweli je yeye nini kwa wakati huu?
 
"Kazi yopyote unavyoomba unaenda Hospitalini Kuchunguzwa kwa kuwa mtu ukiwa na ugomjwa wowote Mwilini mwako unasababisha madhara katika kichwa kwa sababu hata ukiganyaga kipisi cha sigala kama mvutaji alikitupa vibaya akili inapiga simu haraka katika mguu wako na kukutaka uondoe hiyo mtu akiwa anaumwa hataweza kuwa vizuri kutokana na madhara ya ugonjwa,"

Alisema kuwa mtu akiwa anasumbuliwa na ugonjwa wowote Nyaya hugusana na hivyo mtu kama hakuenda kupima na kama anaumwa anaogopwa kuajiliwa kwa kuwa atasababisha hasara kwa kuwa nyaya zitakuwa zinagusana.

Alisema kuwa watu wanao jaza watu wanawajaza kwa kuwanunulia viroba na kuwa haita wezekana kumpata raisi mweye ukombozi wa taifa hili kama kutakuwa na watu anawanunulia viroba ili waje kwenye mikutano yake.

Alisema kuwa yeye hajajaza watu katika mikutano yake kwa kuwa hawanunulii viroba, lakini alijipo moyo kwa kusema kuwa watanzania waliopo katika mkutano wake ndio watakao sambaza taarifa za ukombozi kwa wale ambao hawapo katika mkutano huo.

Marehemu Mtikija Jana Kabla ya kifo chake leo Alfajiri alimnadi mgombea wa Ubunge kupitia chama chake Cha DP jimbo la Njombe Kusini William Myegeta na kuwataka wananchi kumchagua mhombea huyo kwa lengo la kiigomboa Njombe na Tanzania kwa ujumla.

Alisema kuwa Chama hicho kimesimamisha wagombea katika majimbo mengi na sio Njombe Pekee na kuahidi kuwa atazunguka nchi nzima kuwanadi wagombea hao.

Mungu ailaze mahara pema Roho ya Marehemu Mch. Mtikila Amen
 
Tunamshukuru Mungu huduma alizofanya Mtikila.Yeye kamaliza kazi.Tunamuomba Mungu, Magufuli awe Rais wetu.jina la Bwana libarikiwe
 
Ni kweli si vizuri kufurahia kifo cha mtu familia ya marehemu na jamaa zake wa karibu wana majonzi lakini pia si vizuri kumwita mtu aliye hai hasa mgonjwa kuwa ni jeneza linalotembea kwani hiyo ina majeraha makubwa kwa familia na jamaa wa karibu na mgonjwa huyo mbaya zaidi inaweza kumuathiri mgonjwa na hata kusababisha kifo chake wito wangu ni kwamba tuache kudhiaki wagonjwa badala yake tuwafariji hali kadharika tuache kudhiaki marehemu badala yake tuwafariji wafiwa
 
Mapepo ya Gwajima, Mapepo ya Mwingira. Poleni wahanga, r.i.p mchungaji.
Ila najua Dr Magufuli hawamuwezi! Maana ulinzi alionao ni wa yule Mungu mkuu na ndiye anayetakiwa kuwa rais wa taifa. Hakuna cha mapepo ya hao wachungaji wala nini, lazima awe rais na awashikishe adabu, maana kama mwingira ni mnafiki anajifanya ndumila kuwili kumpalilia mlutheri mwenzake na fisadi mwenzake wa ardhi, na lazima ardhi anyang'anywe!

Daaa kwa hiyo Mch Mtikila kazidiwa nguvu na mapepo?wewe hujielewi kweli, hii iliyo tokea kwa Mchungaji Mtikila nikama itakavyo tokea kwako na kwangu, Usilete imani zako zakishetani, na huyo unaye mtetea anaMungu basi umfuatilie vizuri utajua kinga yake nini,wazee wa chato wamempa nini kama kinga. .
 
Tunamshukuru Mungu huduma alizofanya Mtikila.Yeye kamaliza kazi.Tunamuomba Mungu, Magufuli awe Rais wetu.jina la Bwana libarikiwe
Kazi gani alivyofanya zaidi ya ku talk shit muda wote.....kisha habari yake
 
Naona Tanzania linaenda kuwa Taifa la kimafia.
 
Nadhani sasa mmejione umafya wa LOWASSA

Umafya wa Lowassa ni nini. Mumemtukana sana baba wa watu amekaa kimya. Majibu yake ndio hayo kutoka kwa mungu.wote walionyanyua midomo yao kumtukana Lowassa laana ya mungu iko juu ya vichwa vyao.mungu hadhihakiwi.
 
Duh. Kuna nini ? Mkangara alisema Lowasa ni mgonjwa Akafa yeye,Mtikila alisema Lowasa ni mgonjwa Amekufa yeye, bado wengine kama 3 wanaomsakama lowasa kwa ugonjwa na ni bahati Mtikila aliondolewa kwenye kinyang,anyilo cha Urais muda huu uchaguzi ungehairishwa hadi January 2016

Mkangara????utashtakiwa wewe hebu jiridhishe kwanza
 
Kumfananisha Lowassa na Mungu ni ushetani na ukafiri wa hali ya juu.

Lowassa ni mgonjwa, muulize Msukuma alifanya nini Chato. Mungu huwa anafaya hayo?
We mama mpumb@v sana wee unajua kwann msukuma alimzushia El vile, we dawa yko inakujaa ngoja ublid miaka 10 mfululizo non stop ndy ukome
 
Kwa hiyo kumbe Lowasa siyo mgonjwa? Kwa hiyo wewe unataka tumpeleke ikulu ili akapate nafuu ya kujitibia kwa fedha zetu na mfululizo wa ruhusa za mapumziko ya ugonjwa? Hivi unajua kuwa ikulu kulala ni bahati na kazi ni nyingi kuliko muda? Kama Mtikila atakuwa amekufa ujue hajafa na hoja hii. Swali liko pale pale. Ikulu siyo chaka la wagonjwa. Bora aende mtu mzima ugonjwa uanzie akiwa tayari ikulu na siyo aende nao eti tunamsindikiza sisi watanzania.

Kwahiyo unataka kusemakua toka LOWASA alivoanza kua mgonjwa ajawahi kutibiwa?na kama alishatibiwa alitibiwa na fedha za ikulu?
 
Nimeisoma naomba orodhesha makosa ya Mch Mtikila. Je Lowasa ni magonjwa au sio mgonjwa??? USICHANGANYE ushirikina na neno la Mungu.

Queen Esther

Queen Esther naomba usisumbuke kubishana na wajinga.

Watu wanataa kututisha mtu asisemwe kile alicho nacho. Lowasa ni mgonjwa kama wagonjwa wengne. Fidel castro baada ya kuandamwa na magonjwa aliamua kukabidhi madaraka kwa mdogo wake. Sasa kama urais unatakiwa mtu mgonjwa kwann aliamua kuacha madaraka?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom