PRINCE CROWN
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,210
- 4,175
Miaka 50 Ni Miaka Ambayo Kimaandiko Uwa ni Mwaka wa Ukombozi, Yaani Jubilee Takatifu - Mwaka wa Kuachwa Huru Kwaiyo Ccm Ijiandae Kisaikolojia Maana Mungu Analirudia Taifa Lake.
Mr Ndege. Haya uliyoyasema ni Mazito Sana nakila Mtanzania Anapaswa Kuyatafakari Sana. Maana haijawai kutoke katika Taifa mambo Makubwa Kama Haya.
Yalianza Kwenye Zoezi La Katiba Mpya ccm wakachakachua, kama Kawaida Yao Hawakujua Kwamba Wanashindana Na Mungu,
ikazaliwa UKAWA Umoja Wa katiba ya Wananchi, vyama Ambavyo kwa miaka yote vimekua Maadui kisiasa kukaa pamoja, hapa napo ccm ndiyo kwanza imelala fofo isijue nini maana yake kwamba Mungu alikuwa anawawashia taa Nyekundu.
Ikaja kwenye kura za maoni. Hapa napo Mungu alisema wazi wazi na chama cha mapinduzi. Juu ya lowassa uhungwaji wake Mkono na wananchi wengi ndani ya chama na nje ya chama. Hapa napo ccm wakachakachua wakidhani wameshinda kumbe ni Mpango wa Mungu kukiangamiza chama cha mapinduzi.
Siku niliyo Ogopa Zaidi ni Siku Lowassa Alipo amia Chadema, ndipo Akili zangu zikapata Mwanga Kwamba Hapa Mungu anataka kufanya Jambo tanzania mwaka huu.
Na dalili Na isharo zote zimeshaonekana wazi wazi juu ya Mtu wa Mungu Lowassa Pamoja na Misuko suko Mingi, hila, na mipango miovu ya Adui Bado Lowassa anazidi kuungwa Mkono kila siku na Wananchi. Maskini ccm Mwaka huu ndiyo mwisho wenu. Ndio mjue Hapangacho Mungu Mwanadamu hata ufanye nini uwezi tangua, Tanzania Mpya inakuja.