Mch. Josephat Gwajima: Maeneo mengine hatukuhitaji kupiga kura ili kushinda bali kutaja jina la John P. Magufuli tu, kura zilipatikana

Yaani unatambua wazi alitaka kusema nini na akakosea lakini unajifyatua akili unaandika upuuzi utawasaidieni nini sasa? Upinzani mmetia aibu piteni kushoto kama siyo nyuma mpotee kwa mashoga ulaya tuone kama kweli yatawasaidia..wenzenu tulibadirka kitambo tukajua mbivu na mbichi

Hapa sasa hivi hiyo Kawe imepata mtu,tazama ni siku ya kwanza kuongea bungeni lakini ameongea kama ana miaka 20 mle ndani,msiwe mna kariri watu hata kama ni majuha tu ninyi mnadhani ndo wanafaa
 
Alimaanisha kupiga kampeni ila ulimi ukateleza.

Kama kawaida Bavicha mtakomaa na mada za kijinga kama hivi weeee! Hadi ikifima tarehe 01/10/2025 ndio mnaanza kuulizia mambo ya tume huru.
Huko wanakuelekea chama Chato kitapotea kabisa.

Wabunge wao muda wote wapo kwenye siasa za Twitter na Instagram wakasahau kabisa kuna deni la kushughulikia kero za mwananchi wa kawaida.

Wajipange kwelikweli awamu ya tano sio saizi yao.
 
Huyu Mgalatia sijui ni nani aliyemloga, maana suala la uchaguzi kuwa na makando kando li wazi kabisa na anajua kabisa, but still anasimama madhabahuni pa Bwana na dhambi zake!

Dr. Gwajima, Rashid Josephat - M.P & Bishop.
 
Level ya unafiki ya watanganyika ni ya juu sana kuipima kwa SI units hizi za kawaida! Labda Richter scale!

Yaani watu wanajua kabisa hapakuwa na haki lakini wanaongea na kusifiana as if hamna kibaya kilichotokea!
Tuletee wewe tafsiri ya neno "kupiga kura"!
 
Very well said kiongozi [emoji120] [emoji120] Gwajima ni tapeli tuu, a self proclaimed prophet, a conman....
 
Mwizi wa Kuku na mwizi wa kura wote ni VIBAKA tu.
 
Huyu mimi nilivyomwelewa, alikuwa anaongelea wakati wa Kampeni na si siku ya kupiga kura.
"Hatukuhitaji kuomba kura ila kutaja jina lako tu".
By the way, wakati wa Kampeni kuna watu walikuwa wanapiga kura?
 
1. Yes, kisheria hadi usomapo comment hii Gwajima ni mbunge halali unless otherwise..

2. Kwani huyo anayeongea hapo siyo Mch. Josephat Gwajima? Hajasema hiki nilichokiripoti hapa?

Nadhani (labda), tunatofautiana uelewa na tafsiri ya kimantiki ya kilichosemwa na mbunge huyu..

If that is the case, huwezi kuniita mimi mwongo. Nafikiri ulichopaswa kukifanya wewe ni kuni - challenge mimi kwa kusema;

"...Nadhani tafsiri haiko sahihi. Gwajima kasema vile akiwa na maana 1, 2, 3 kinyume na ulivyoelewa wewe (yaani Mimi).."

Lakini kuniita mimi direct kuwa ni muongo huku tunachokijadili kikiwa wazi kwenye video hiyo ni kutonitendea haki kama watu wastaarabu na waungwana...!

Asante..
 
Huyu mimi nilivyomwelewa, alikuwa anaongelea wakati wa Kampeni na si siku ya kupiga kura.
"Hatukuhitaji kuomba kura ila kutaja jina lako tu".
By the way, wakati wa Kampeni kuna watu walikuwa wanapiga kura?

Very good, kwa mtazamo wako...

Lakini kulikuwa na need yoyote kulisema hili ktk kipindi hiki ambacho taifa bado liko kwenye tension iliyosababishwa na matokeo mabaya ya uchaguzi huu?

Absolutely, hakukuwa na need yoyote kutamka vile bila kujali unachotaka kujua kupitia maswali yako haya..

Lakini kwa kuwa, UONGO huwa haudumu, mmilki wa uongo, taratibu anaweza kuanza kujifunua mwenyewe, kisha watu huanza kuujua ukweli...

Siyo bahati mbaya ndugu. Hiyo ni natural means ya kuwaumbua waongo..

Likely, kuna possibility ya udhihirisho mkubwa zaidi kutokea...
 
Mkubwa achana na huyo mtu, kwa haraka tu naiona level yako ya ufahamu ni kubwa mara kumi ya huyo unae ague nae,kwa binadamu wa kawaida ukimuona anashangilia uovu tambua wazi hana ufahamu wa kutosha na ufahamu kwa binadamu huweza kuondolewa na vitu viwili tu ugonjwa yaani ukichaa au Mungu, upo ushahidi wa mungu kuwaondolea ufahamu watu ili waanguke. hasa wanapozidisha uonevu,kutotenda haki na uasi.
 
Alimaanisha kupiga kampeni ila ulimi ukateleza.

Kama kawaida Bavicha mtakomaa na mada za kijinga kama hivi weeee! Hadi ikifika tarehe 01/10/2025 ndio mnaanza kuulizia mambo ya Tume huru.
Mi pia niliwaambia hivyo hivyo ikifika uchaguzi 2025 wanaanza upya.
 
BIG LIAR. Sidhani hata endapo unajua kusoma.
 
 
Sina chama....ila sipendi uongo na unafiki.

Hapo Gwajima alimaanisha

"" Hatukuhitaji kupiga kampeni....""
 
Ahaaa kumbe Keissy na Ghasia walijichanganya wakamtamka TL
 
Usishangae Gwajima anaukwaa uwaziri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…