Mch. Morwabe kutoka Kenya atoa onyo kwa Rais Tanzania kuelekea Uchaguzi Mkuu

Mch. Morwabe kutoka Kenya atoa onyo kwa Rais Tanzania kuelekea Uchaguzi Mkuu

The Palm Beach

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Posts
4,249
Reaction score
11,592

View: https://youtu.be/zrupDG6XOqw?si=Fm1UfLmdpaNqo-7c
Anasema:
1. Watanzania mwombeeni Rais wenu Samia Suluhu Hassan na serikali yake kwa ajili ya usalama wa nchi..

2. Kitendo cha Rais Samia Suluhu Hassan kufungia kanisa ili lisiabudu Mungu aliye hai ni jambo la hatari sawa na kucheza na waya wenye wa umeme wenye high voltage..

3. Mungu kwenye hili, amejifanya kama haoni ili kumpa nafasi Rais Samia kurekebisha kosa hili. Lakini, anaonekana kama kiburi kimekolea na matokeo yake atayaona...

4. Amemtahadharisha Rais Samia Suluhu Hassan kuwa kufuta usajili wa kanisa sio kumfunga Roho Mtakatifu kushughulika na yeyote anayekufuru dhidi ya mamlaka na nguvu ya Mungu Jehova ambaye hukumu kufuta kabisa kizazi cha mtu huyo kisionekane duniani..

5. Amemwomba Rais Samia kubadili uamuzi wake wa kucheza na kanisa haraka kabla mabaya hayajamkuta yeye na wote waliohusika..
 
Kizimkazi kashalala kwenye jeneza zaman sana kilichobaki ni utimilifu juu ya habari ya mwili

Niliona katika maono
 
Pale Rwanda makanisa mangapi yamefungiwa?

Mbona hakuna kilichotokea?
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Angalia usijinyee.Hiyo ndoto ya kusukuma mavi kama yule mdudu msukuma mavi.
 
Back
Top Bottom