Nimeamini siasa ni mchezo mchafu huwa hazitegemei akili ya mtu bali mapenzi ya kiongozi wa wakati huo hasa ukitegemea na sheria zetu za uchaguzi zilivyo mbovu huna cha kufanya.
Tusione watu wanasifia wanajitoa ufahamu kumbe wanajua akili zao walishazikabidhi kwa Rais wao
Mchungaji Msigwq kutoka kuhaidiwa Uwaziri mpaka kukatwa jina.