Mch. Msigwa: Nikihamia CCM, wananchi chomeni moto nyumba na magari yangu

Wanashabikia ccm wote vilaza na wauaji walopoteza uwezo wa kufikiri .
 
Vipi tukisikia umemuunga mkono lowasa tukakupime akili au?? Kubwa jinga hili
 

Wakuu,
Mie nadhani kamaanisha kutoa idea kwa raia kulipiza kisasi kwa yeyote atakaetufanyia usaliti huu atiwe adabu kama hivo alivyosema. Kwa kweli watu tumelala sana. Hawa wabinafsi wanaotenda matendo kama haya wanaoamua kutusaliti baada ya hatua tuliofikia wanastahili hayo aliyoyasema Msigwa! Na akitiwa adabu mmoja tu itakuwa funzo kwa wengine. Vyenginevyo tutalia lia bila ya msaada wowote na siku zote sisi tutakuwa watu wa kunyanyaswa na CCM na ma-opportunists wenzao!!
 
Alete ushahidi wa hao wanaompigia simu kama hana huku ndio tunaita kujitongozesha,sawa na mwananmke anayemtaka mwanaume fulani lakini huyo mwanaume asiwe na time nae utasikia huyo mwanamke akijinasibu kuwa ah yule mwanaume ananitaka lakini mimi simtaki wakati hata hajawahi hata kutakiwa.Msigwa hana umaarufu wowote wa kupigiwa simu na watu wa CCM kama simu basi anapigiwa na Nyalandu,lakini siku hizi waziri ni Kingangwala.
 
Nani Nyalandu?
 
Nani amekwambia CCM inachukuwa kila kilaza? Wewe hata ukilazimisha huwezi kuchukuliwa CCM, IQ yako haitoshi!
Kumbe inachukuaga kilaza ingawa si kila kilaza anachukuliwa na CCM.
 
Jamaa ni kigeugeu sana na ana siasa za kinafiki.
Si ndo huyu alikuwa anajiapiza kuhusu Lowassa kuwa wanaomsapoti kugombea urais ni machizi wapimwe akili???
Je si ndo huyu huyu aligeuka kauli yake mchana peupe kabla hata mwaka haujaisha??
Hawa ndo wanaoifuja chadema na kuwaona 'makamanda' mazuzu.
 
Kauli za kijinga kabisa za wanasiasa sijui wametuona wananchi wapumbavu kama wao, unaanzaje kwenda kuchoma mali za mtu eti kisa kahamia ccm, ukiwekwa chini ya vyombo vya vya ulinzi na usalama utasema eti aliweka agano?
Kwani alizaliwa na bendera ya chadema? Alisomeshwa na Chadema tangu primary??
Aache ujinga afanye wajibu wake, mwisho wa siku mara paaap ndani ya ccm, unaanza kutafuta uongo kutetea ukweli. Mmeongea maneno kibao kuhusu Lowassa leo mmekuwa kama vitoto vya ndege.
 
Ahamie CCM Mara ngapi? Alipokuwa anachukua rushwa kwa Nyalandu alipokuwa waziri wa maliasili na utalii alishshamia CCM, alifanywa matakwa ya CCM, alikula Mali ya CCM na walimpa fedha za kumuwezesha kushinda ubunge.

Labda aseme kukihama CCM atafute kazi nyingine ya kufanya maaña CCM imebadili maajenti, Msigwa, Zitto na Mbowe wamepigwa chini
 
Huyo mwongo. Nimegundua wanasiasa wetu wote ni wachumia tumbo. Huyu Msigwa aliwahi kusema watanzania wapimwe akili kwa kumkubali Lowasa. Baadae kahamia Chadema na kaendelea kumsifu tu na kumnadi.
 
Msigwa wa Lazaro Nyalandu ama ni msigwa tofauti?
 
Msigwa,just piece of advice,

usitoe statement kama hizi..........

watu huwa wanafanyaga kwelii....

watu wa kawaida watachoma vitu vyako,udhanie ni adui zako kisiasa,

kuna watu mapsycho,huwa wanaafutaga tu reason ya kufanya jambo baya
nadhani kuna muda huwa anatania tu, unakumbuka kauli zake zile za kipindi kile?
 
Usimwamini mwanasiasa hata kama mmeo
 
Nani amekwambia CCM inachukuwa kila kilaza? Wewe hata ukilazimisha huwezi kuchukuliwa CCM, IQ yako haitoshi!
Hapana usiwe muongo na usiwatukane watanzania msingwa yuko smart sana kichwan tena nadhan humfikii hata kwa theluthi siasa zisikufanye upotoshe kila kitu tuwe wakweli tusilemazwe na siasa ikatijenga katika misingi ya uongo, ungesema tu ccm haina mpango wa kumnunua msigwa inghetosha kumuita msigwa kilaza hata wana ccm wenzio watakushangaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…