Mch. Msigwa: Nikihamia CCM, wananchi chomeni moto nyumba na magari yangu

Attachments

  • C5436F3A-3547-4A38-BEC0-3AEF72F7E0B6.jpeg
    146.6 KB · Views: 4
  • 554C5EC0-928F-4B17-9DAB-17DDBB13FC4F.jpeg
    60.6 KB · Views: 3
  • D6694502-57AA-4005-95A6-F122EF2DDDEA.jpeg
    48.6 KB · Views: 4
Chadema msihangaike na huyu kalipwa hela nyingi kuliko kipindi alichokuwa anajidai hawezi kuhamia CCM na kwamba eti endapo angehamia nyumba yake na magari yake yote yachomwe moto.


Tahadhari: Zikianza harakati za uchaguzi ajiandae kisaikoloji inawezekana kabisa mali zake zikachomwa na wananchi.

Msigwa hana 'madhara yoyote kuondoka CDM cha zaidi ameenda kujidhalilisha zaidi na hatainuka kamwe tena kisiasa.

Kalipwa pesa nyingi: Shahidi ni Musukuma na Makala.

Yaani kushindwa uchaguzi wa ndani unalalamika halafu suluhisho ni kuhama?

Anamtishia nani?


Huko alikoenda atakachofanyiwa atajuta milele
 
Utashangaa wananchi wakichoma nyumba yake na gari anaenda mahakamani.
 
Ukiwa na njaa usiwaponde walioshika mpini,kama hauna njaa waponde tu.....Mwafrika na njaa ni kama simu na betri
 
Siasa ni utapeli na uchungaji ni utapeli.
Huyo mwamba ni tapeli square!
 
alisema Leo na akasisitiza Leo, 2017 sio Leo miaka 7 imepita mngamuuliza tena.!
 
Generation Z, iliwahi kusema, ogopa Mungu na tekinolojia,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…