Mch. Peter Msigwa: Hayati Magufuli ametufundisha tujue tabia za watu wengi

Mch. Peter Msigwa: Hayati Magufuli ametufundisha tujue tabia za watu wengi

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Muda ni Mwalimu mzuri sana ! Wanafiki wote wamejidhihirisha.
Tabia za ki TIKITI MAJI nje wa kijani na ndani mwekundu, ziko wazi . Jambo moja la kumshukuru JPM ni la kutufanya tujue tabia za watu wengi.
#MboweIsNotATerrorist https://t.co/Y6l1tcnXnd



IMG_20211222_213335.jpg
 
Magufuli asingecheza na uchaguzi 2020 mpaka kukosa wabunge wa upinzani kabisha, mziki wa katiba mpya usingevuma kama unavyovuma.

Itoshe kusema Magufuli ametuamsha usingizini.
Katiba mpya ni kwa ajili yetu
 
Magufuli asingecheza na uchaguzi 2020 mpaka kukosa wabunge wa upinzani kabisa, mziki wa katiba mpya usingevuma kama unavyovuma.

Itoshe kusema Magufuli ametuamsha usingizini.
Kwani dada sisi wapinzani tunahitaji wabunge tu?
 
yule baba kwa nje alionekana chuma kumbe ndani alikuwa amebakiza figo moja tu

Akina Lema waliokuwa na taarifa za afya yake kila siku walikuwa wakimtabiria mauti kwani walijua hatoboi
 
Back
Top Bottom