Mch. Peter Msigwa: Hayati Magufuli ametufundisha tujue tabia za watu wengi

Mch. Peter Msigwa: Hayati Magufuli ametufundisha tujue tabia za watu wengi

Kwa hiyo akisema kumshukuru Magufuli kwako wewe unaumia? Mawazo yako hayo ya kipimbi tunataka kila mtu awe mayo?
Kumshukuru gani magufuli wakati mnafiki tu. Kama kumshukuru angemshukuru kwa kumlipia fine asifungwe jela. Nisisahau.. Pimbi mwenyewe.
 
Kweli kabisa, bila Magufuli kusimamia vizuri raslimali zetu tusingejua kuwa #dishlimetilt ni kibaraka wa mabeberu, angeendelea kujificha kwenye kichaka cha uwakili bila kujulikana rangi zake halisi.
 
Back
Top Bottom