Saili za utumishi wewe huzijui kwa sababu yamkini wewe ni mwalimu au ni mgeni kabisa! Lakini utumishi toka ianzishwe imewafanya vijana wengi kuajirika sehemu ambazo zililikuwa hazifkiki kwa watoto masikini! Kwa hiyo hoja zako hazina mashiko kabisa! Maana wasio na ajira muda mrefu sio walimu peke yake kumekuwepo na kada zingine hawajaajiriwa toka miaka ya nyuma na wapo wengi sana! Umewahi kuona utumishi wanatangaza kazi kwa kulimit miaka ya kumaliza chuo????kwa uzoefu wangu waliomaliza miaka ya nyuma ndio wengi wanapata kazi utumishi sio kwa sababu ya upendeleo ila ni kwa sababu wana uzoefu na kazi hivyo maswali mengi wanayafaulu kwa sababu maswali yanaulizwa ya kada husika!
Kwa hiyo hoja yako kuwa wangekatia waliomaliza mwisho 2018 alafu wawashindanishe haina mashiko maana hata ukichukua wajinga 1000 ukawafanyia usaili lazima yupo atakayeongoza tu! Mimi nilidhani mtu aliyemaliza miaka ya nyuma ana chance kubwa ya kufaulu usaili kwa sababu ana uzoefu na kazi lakini pia hata kujieleza ni tofauti na mtu aliyemaliza mwaka jana!
Hoja yako kuwa wengine wanafanya usaili wa kuandika na wengine usaili wa mahojiano haina mqshiko, kwanza unaonekana wewe ni mbinafsi na una wivu sana, na inaonekana hujui lengo la mithani ya utumishi! Lengo la mithani ya utumishi ni kutafuta watu sahihi miongoñi mwa wengi!
Kazi ya usaili wa mchujo ni kuchuja watu wabaki wachache hivyo hata wakikatia 90% hawana lawama na hamna sheria inayowakataza kukatia hapo maana ni mchujo!
Kuna kada wanahitajika watu 5 wanaomba watu 10 wewe unahisi kuna haja ya kuwa na mthani wa mchujo au written?????? Lakini wanahitajika watu 5 wanaomba watu 1000 plus utawapataje sasa hao watano lazima utumie hizo njia zote! Mchujo, prct nk ili ubaki na wachache ili uhojiane nao! Hiyo application ipo pia kwenye topic za geography walimu mlitufundisha alafu nyie wenyewe hamtaki kufanyiwa!
Tuache malalamiko yasiyo na maana mtoto wako anaposoma mwambie asome kozi ambazo hazina ushindani mkubwa sokoni! Haiwezekani mwalimu kakomaa na madynamic na principle za newton unataka ulingane naye wewe uliyesoma mambo ya ngoswe na mìchomekeo kibao! Tuache utane
Jinsi unavyosoma kozi ngumu na yenye watu wachache hata kwenye usaili ipo hivyo hivyo! Kuna kada wasailiwa wanaitwa watano na wanahitajika 4 hadi raha sana!
Kozi yangu iliyonipa ajirà, walikuwa wanahitajika watu wawili na tulioitwa usaìli tulikuwa watano tuliofika siku ya usaili tulikuwa 4! Wakati pembeni unaona kada nyingine wanahitajika 2 walioitwa usaili 200+ wewe unafikiri kosa la nani hapo???
Tuwe wazalendo! Utumishi wapo fair 100%
Naona jamaa amekugusa kwenye mshono inaelekea unahusika kwa hili
Huw

Naona umeguswa kwenye mshono.
Mimi nina experience ya kazi mwaka wa 32 huu huwezi niambia kitu.
Huwezi fanyia usaili watu 20,000 halafu unatafuta watu 100 ukawa fair 100%
Nilikokuwa nafanyia kazi ukiona kazi imetangazwa ujue tayari kuna watu wameshapatikana hii habari ya kutangaza ni kuonyesha watu wako fair kwa lugha nyepesi botion.Nenda bank kuu uchunguze wanaofanya pale ni watu wa aina gani halafu njoo hapa uniambie.
Marehemu mwenda zake ilikuwa inamkera sana.Kuna sehemu ukianza kazi unaulizwa na wafanyakazi wenzako muheshimiwa gani kakuleta.Liko shirika flani silisemi ilikuwa pamoja na kufanya usaili lakini baadae unasalimiwa kwa lugha hiyo kwanza nahifadhi kabila hilo .Mkurugenzi wake ni RIP.
Kutangaza huwa ni kanyaboya tu kuondoa lawama hata ingekuwa ni mimi nina ndugu yangu kakaa benchi miaka 10 niko utumishi siwezi kumuacha.Mahali pasipo na upendeleo ni mbinguni tu.
Nimeshawahi kuitwa inteview TRA mwaka 2015 sikwenda na usaili wa maandishi ulifanyikia chuo kikuu dar sikwenda machale yalinicheza baadae jamaa mmoja akaniambia afadhali hukwenda ungepoteza muda wako zile nafasi zilikuwa na wenyewe.
Hii iko hata kwenye siasa huwezi kukurupuka tu from nowhere ukajichomeka lazima kwanza wewe uuzike kwanza inakuwa raisi kukuchomeka kirahisi inakuwa rahisi sawa na kumsukuma mlevi.
Mimi mwenyewe nimeshawahi kufanyisha interview mara nyingi sana ni ngumu mno unakuta wame apply watu 200 anahitajika mtu mmoja tu na hii taaluma ni taaluma rare sana kwa maana kwamba sio kama ualimu.
Hapo lazima kutumia mbinu nyingi ukiweka mtihani wa aptitude unakuwa mchujo wa kwanza ukiweka mtihani sasa wa taaluma yenyewe unakuwa mchujo wa pili ukiweka practical unakuwa mchujo wa tatu ukiweka oral unakuwa mchujo wa nne na unakuta lazima utabaki na watu wengi tu lets say 10 hapo sasa niambie kinachotumika ni nini?
THE WORLD IS NOT FAIR