kimbomba25
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 1,160
- 2,117
Wangekuwa wanapata kipato kizuri hivi wangebadili maisha yao.Bodaboda hakosi elfu 30 Kwa siku Kwa mwezi laki 9
Na huyo boda yupo Dar anakunywa Pepsi ya baridi, mwalimu umepangiwa machakani Tandahimba unakunywa togwa
Sikubaliani na maslahi ya walimu, lakini pia mtaa siyo rahisi kama unavyojaribu kukokotoa hivi.
Si ajabu wewe mwenyewe bado hujaanza kujitafutia fedha.