Mchakato wa ajira za ualimu mwaka 2025 si wa haki, umekaa upendeleo

Na kuna kontena jingine linaingia mtaani mwaka huu na kuongeza Lundo la wasakatonge ,hiiii🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Unakuta mashangazi na majomba yanagombania kazi na watoto wao ,
Nacheka kama mazuri vile 🀣🀣🀣🀣🀣
Anakuja mjinga mmoja anakwambia Tanzania hamna tatizo la unemployment 🀣🀣🀣🀣🀣
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Hii kitu ndio inazidi kuwapandisha kisukari Walimu.

Yaani wanakutana kwenye usaili na Wanafunzi wao waliowafundisha field.
 
Na mwanafunzi anatoboa utumishi Bhn wako vizuri hakuna janja janja

Kasongo yeyeye mombali na ngariii.........
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Hii kitu ndio inazidi kuwapandisha kisukari Walimu.

Yaani wanakutana kwenye usaili na Wanafunzi wao waliowafundisha field.
Mwanafunzi anapata kazi afu jamaa aliyewafundisha field bado anaendelea kulambishwa mchanga πŸ˜‚ Mm mwnyw lazima nngeilalamikia utumishi kuwa saili zao sio za haki πŸ˜‚
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Utumishi ukienda kichwakichwa lazima uwaone hawafai.

Ila ukikumbuka kuna watoto wa masikini wenzio waliotoboa sehemu zenye asali wa nyuki wadogo unajua hukujipanga vizuri.
 
Ndugu waalimu waliofeli hawataki kujua hilo πŸ˜‚
 
Mm najiuliza mbona watu wa afya hawakulalamika kama hawa waalimu wakati hata wao hawakuwa na usaili kama waalimu πŸ˜‚
 
Yaani uache biashara yako Dar
Ushinde foleni unakaguliwa vyeti, upange kasulu kutumikia laki 5 mwezi mzima.

Huo ndo upumbavu gani Sasa
We pambana futa ajira akilini, mtaa una kila kitu, kuliko kushinda huko shule unaimba vishazi huru
Huyo hawezi kuwa hata na kiosk, watu sio wajinga humu
 
Kwa matokea haya, hata Mm ningeilaumu utumishi ili kuficha upumbavu wangu πŸ˜‚

View attachment 3224749
Hahaha kuna jamaangu alitokaga nje kusoma akajua akija tu huku atajiokotea tu kazi bwana bwana tukaenda kwenye mtihani sasa tukakaa karibu nilifanikiwa kuiona namba yake ya mtihani ile nachek matokeo alikuchuwana na hao jamaa hapo chini toka siku hiyo yeye huwa hataki kabisa kusikia kuhusu mitihani ya utumish πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Pamoja na elimu yake bado akapata namba ya viatu πŸ˜‚
Utumishi shikilieni hapo hapo πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Back
Top Bottom