Mchakato wa ajira za ualimu mwaka 2025 si wa haki, umekaa upendeleo

Sasa mtu kama huyo kwann asianze kuilaumu utumishi kama waalimu wafanyavyo 😂
Mitihani ya utumishi mifumo wao hawajiandai watapass vipi, sawa magumashi yapo lakini linakushindaje Swali la kitenzi kivumishi, ukiulizwa masaki ya Linux utatoboa ? Bado sijaelewa kwanini mtu anapata zero kabisa
 
Yn kwamba hana lolote analolijua 😂 Mm mwnyw n kilaza ila siwezi kupata 0 aisee 😂
 
Dah haya bhana 😂 ila dah ngoja ninyamaze tuu
Ujue walimu wengi tumetoka familia masikini sana Tena sana kwa hiyo usishangae mtu anae kuuliza majina wanaangalizia wapi au unakuta ni kejeli TU maana kama ameweza kupata namna ya kuingia jamii forum ameshindwaje kupata namna ya kupata majina ya usaili
 
Hujui biashara wewe
Komaa na huo upumbavu wa uwalimu.
Yaani uache biashara yako update laki 5 mwezi mzima huko machakani.
Achana na huo ujinga wa kukomalia kazi ya laki 5 ambayo bodaboda anaita Kwa wiki tu
jamaa unachekesha boda boda hawa hawa
 
Kinachoshangaza ni kitu kimoja
Kwenye kupangana kazi tangazo linasema waliopo kwenye database na kufanya usahili mpaka January 17

Sasa Hao waliopo kwenye database hawakufanya usahili wa juzi yaani usahili wa pamoja 2024 mwishoni na January
Au usahili wa juzi kwao haukuhesabiwa?

Swali lingine Hawa walifanya usahili baada ya January 17 maana nawajua kadhaa usahili wao hawakufaulu wote hata mmoja maana tar 24 February ndio mwisho wakupangani vituo kulingana na wenyewe
 
Ujue walimu wengi tumetoka familia masikini sana Tena sana kwa hiyo usishangae mtu anae kuuliza majina wanaangalizia wapi au unakuta ni kejeli TU maana kama ameweza kupata namna ya kuingia jamii forum ameshindwaje kupata namna ya kupata majina ya usaili
Nawaza tuu, majina yanatoka zaidi ya miezi miwili sasa, pia wakati wa kuomba usaili n lazima uingie kwenye web ya utumishi, pia tangazo limetoka kwenye web ya utumishi.

Sasa nashangaa tena leo mwalimu kuuliza swali kama hilo aisee nashangaa sana afu badae amepata 0% anaanza kuona ameonewa na kuilaumu utumishi.
 
Kinachoshanga ni kitu kimoja
Kwenye kupangana kazi tangazo linasema waliopo kwenye database na kufanya usahili mpaka January 17

Sasa Hao waliopo kwenye database hawakufanya usahili wa juzi yaani usahili wa pamoja 2024 mwishoni na January
Au usahili wa juzi kwao hakuhesabiwa?

Swali lingine Hawa walifanya usahili baada ya January 17 maana nawajua kadhaa usahili wao hawakufaulu wote hata mmoja maana tar 24 February ndio mwisho wakupangani vituo kulingana na wenyewe
Kumbuka kuwa kabla ya ajira za waalimu kupelekwa utumishi pia kuna baadhi ya kazi zilikuwa zinawataka hao waalimu kupitia utumishi, hvy labla hao wanaoitwa kazini ni wale waliowahi kufaulu ila hawakupata kazi.
 
Usaili upi wa juzi au wa zaman?
 
Usaili upi wa juzi au wa zaman?
Ndugu, mbona nimeandika kitu kinachoeleweka.

Kuna baadhi ya kazi waalimu walikuwa wanaweza kuomba hata kabla suala la ajira ya waalimu kupelekwa utumishi.
Hvy labla hao ni wale ambao waliwahi kufanya usaili na kufaulu kabla ya waalimu kuhamishiwa utumishi.
 
Database inayotumika ni ya Nani?

Usahili upi unatumika kuona kama walifaulu sawa?

Kwanini hawakupangiwa vitu kuona nafasi zilizo bado wazi?
 
Mtihani wa geogaraphy haukuwa na title ya geography hii imekaaje kwa upande wako

Sasa shida Iko wapi ? Kwani maswali hayakuwa yakihusu Geography ?

Walimu mnadeka sana. Sisi wa kada nyingine mbona tumekula sana msoto na bado tuna kula sana msoto.

Usaili ulitakiwa uwepo tangu zamani, nilikuwa najiuliza kwanini walimu na madaktari wanachaguliwa tu pasi na kufanyiwa usaili ?
 
Back
Top Bottom