Toughlendon
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 498
- 724
Alipata zerooPamoja na elimu yake bado akapata namba ya viatu 😂
Utumishi shikilieni hapo hapo 🔥🔥🔥🔥
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alipata zerooPamoja na elimu yake bado akapata namba ya viatu 😂
Utumishi shikilieni hapo hapo 🔥🔥🔥🔥
Sasa mtu kama huyo kwann asianze kuilaumu utumishi kama waalimu wafanyavyo 😂Alipata zeroo
Mitihani ya utumishi mifumo wao hawajiandai watapass vipi, sawa magumashi yapo lakini linakushindaje Swali la kitenzi kivumishi, ukiulizwa masaki ya Linux utatoboa ? Bado sijaelewa kwanini mtu anapata zero kabisaSasa mtu kama huyo kwann asianze kuilaumu utumishi kama waalimu wafanyavyo 😂
Yn kwamba hana lolote analolijua 😂 Mm mwnyw n kilaza ila siwezi kupata 0 aisee 😂Mitihani ya utumishi mifumo wao hawajiandai watapass vipi, sawa magumashi yapo lakini linakushindaje Swali la kitenzi kivumishi, ukiulizwa masaki ya Linux utatoboa ? Bado sijaelewa kwanini mtu anapata zero kabisa
Next weekNaombeni kuuliza, walimu usaili unaisha tarehe ngapiii wadau
Naomba kufaham maana sielewi, ukitaka kuangalia majina ya walochaguliwa unaangalizia wapNext week
ajira.go.tzNaomba kufaham maana sielewi, ukitaka kuangalia majina ya walochaguliwa unaangalizia wap
Ww n mwalimu?Naomba kufaham maana sielewi, ukitaka kuangalia majina ya walochaguliwa unaangalizia wap
Yeah mm mwl. piaWw n mwalimu?
Dah haya bhana 😂 ila dah ngoja ninyamaze tuuYeah mm mwl. pia
Ujue walimu wengi tumetoka familia masikini sana Tena sana kwa hiyo usishangae mtu anae kuuliza majina wanaangalizia wapi au unakuta ni kejeli TU maana kama ameweza kupata namna ya kuingia jamii forum ameshindwaje kupata namna ya kupata majina ya usailiDah haya bhana 😂 ila dah ngoja ninyamaze tuu
jamaa unachekesha boda boda hawa hawaHujui biashara wewe
Komaa na huo upumbavu wa uwalimu.
Yaani uache biashara yako update laki 5 mwezi mzima huko machakani.
Achana na huo ujinga wa kukomalia kazi ya laki 5 ambayo bodaboda anaita Kwa wiki tu
Nawaza tuu, majina yanatoka zaidi ya miezi miwili sasa, pia wakati wa kuomba usaili n lazima uingie kwenye web ya utumishi, pia tangazo limetoka kwenye web ya utumishi.Ujue walimu wengi tumetoka familia masikini sana Tena sana kwa hiyo usishangae mtu anae kuuliza majina wanaangalizia wapi au unakuta ni kejeli TU maana kama ameweza kupata namna ya kuingia jamii forum ameshindwaje kupata namna ya kupata majina ya usaili
Kumbuka kuwa kabla ya ajira za waalimu kupelekwa utumishi pia kuna baadhi ya kazi zilikuwa zinawataka hao waalimu kupitia utumishi, hvy labla hao wanaoitwa kazini ni wale waliowahi kufaulu ila hawakupata kazi.Kinachoshanga ni kitu kimoja
Kwenye kupangana kazi tangazo linasema waliopo kwenye database na kufanya usahili mpaka January 17
Sasa Hao waliopo kwenye database hawakufanya usahili wa juzi yaani usahili wa pamoja 2024 mwishoni na January
Au usahili wa juzi kwao hakuhesabiwa?
Swali lingine Hawa walifanya usahili baada ya January 17 maana nawajua kadhaa usahili wao hawakufaulu wote hata mmoja maana tar 24 February ndio mwisho wakupangani vituo kulingana na wenyewe
Usaili upi wa juzi au wa zaman?Kumbuka kuwa kabla ya ajira za waalimu kupelekwa utumishi pia kuna baadhi ya kazi zilikuwa zinawataka hao waalimu kupitia utumishi, hvy labla hao wanaoitwa kazini ni wale waliowahi kufaulu ila hawakupata kazi.
Ndugu, mbona nimeandika kitu kinachoeleweka.Usaili upi wa juzi au wa zaman?
Database inayotumika ni ya Nani?Ndugu, mbona nimeandika kitu kinachoeleweka.
Kuna baadhi ya kazi waalimu walikuwa wanaweza kuomba hata kabla suala la ajira ya waalimu kupelekwa utumishi.
Hvy labla hao ni wale ambao waliwahi kufanya usaili na kufaulu kabla ya waalimu kuhamishiwa utumishi.
Mtihani wa geogaraphy haukuwa na title ya geography hii imekaaje kwa upande wako