Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Au ulitegemea kukutana na maswali ya what is geography ππβπ¦Ί Wewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au ulitegemea kukutana na maswali ya what is geography ππβπ¦Ί Wewe.
Usaili n lazimaUtajua mwenyewe πβπ¦Ί Wewe.
π π π Hii kitu ndio inazidi kuwapandisha kisukari Walimu.Na kuna kontena jingine linaingia mtaani mwaka huu na kuongeza Lundo la wasakatonge ,hiiiiπ€£π€£π€£π€£π€£π€£
Unakuta mashangazi na majomba yanagombania kazi na watoto wao ,
Nacheka kama mazuri vile π€£π€£π€£π€£π€£
Anakuja mjinga mmoja anakwambia Tanzania hamna tatizo la unemployment π€£π€£π€£π€£π€£
Na mwanafunzi anatoboa utumishi Bhn wako vizuri hakuna janja janjaπ π π Hii kitu ndio inazidi kuwapandisha kisukari Walimu.
Yaani wanakutana kwenye usaili na Wanafunzi wao waliowafundisha field.
Mwanafunzi anapata kazi afu jamaa aliyewafundisha field bado anaendelea kulambishwa mchanga π Mm mwnyw lazima nngeilalamikia utumishi kuwa saili zao sio za haki ππ π π Hii kitu ndio inazidi kuwapandisha kisukari Walimu.
Yaani wanakutana kwenye usaili na Wanafunzi wao waliowafundisha field.
π π πMwanafunzi anapata kazi afu jamaa aliyewafundisha field bado anaendelea kulambishwa mchanga π Mm mwnyw lazima nngeilalamikia utumishi kuwa saili zao sio za haki π
Ndugu waalimu waliofeli hawataki kujua hilo ππ π π
Utumishi ukienda kichwakichwa lazima uwaone hawafai.
Ila ukikumbuka kuna watoto wa masikini wenzio waliotoboa sehemu zenye asali wa nyuki wadogo unajua hukujipanga vizuri.
Huyo hawezi kuwa hata na kiosk, watu sio wajinga humuYaani uache biashara yako Dar
Ushinde foleni unakaguliwa vyeti, upange kasulu kutumikia laki 5 mwezi mzima.
Huo ndo upumbavu gani Sasa
We pambana futa ajira akilini, mtaa una kila kitu, kuliko kushinda huko shule unaimba vishazi huru
Bado hawajasema π kada kibao tupo mtaani ila waalimu ndo wanajiona wana sauti kulalamikaWalimu mnadeka sana, mbona bado hamjapelekewa moto?
Kumbe ualimu ni deal.Bado hawajasema π kada kibao tupo mtaani ila waalimu ndo wanajiona wana sauti kulalamika
Hahaha kuna jamaangu alitokaga nje kusoma akajua akija tu huku atajiokotea tu kazi bwana bwana tukaenda kwenye mtihani sasa tukakaa karibu nilifanikiwa kuiona namba yake ya mtihani ile nachek matokeo alikuchuwana na hao jamaa hapo chini toka siku hiyo yeye huwa hataki kabisa kusikia kuhusu mitihani ya utumish πππππKwa matokea haya, hata Mm ningeilaumu utumishi ili kuficha upumbavu wangu π
View attachment 3224749
Pamoja na elimu yake bado akapata namba ya viatu πHahaha kuna jamaangu alitokaga nje kusoma akajua akija tu huku atajiokotea tu kazi bwana bwana tukaenda kwenye mtihani sasa tukakaa karibu nilifanikiwa kuiona namba yake ya mtihani ile nachek matokeo alikuchuwana na hao jamaa hapo chini toka siku hiyo yeye huwa hataki kabisa kusikia kuhusu mitihani ya utumish πππππ