Mchakato wa ajira za ualimu mwaka 2025 si wa haki, umekaa upendeleo

Hicho unachokitaka (wahitimu wa zamani wapendelewe) huo ndio upendeleo, haufai.
Mchakato wa sasa haubagui mhitimu yoyote, vigezo vya msingi vyote ni sawa, yule atakayeonyesha uwezo wa juu zaidi katika usahili ndiye atakaye ajiriwa kwanza.
Una roho mbaya kiasi hiki? Sikuwahi kufikiria hivyo. Au wewe ndiye mkenda mwenye roho mbaya??
 
Kwa hiyo point yako ni kuwa, kigezo cha aliyemaliza chuo zamani zaidi ndio kiwe kipaumbele cha kupata ajira badala ya kutumia ufaulu wa juu katika usaili?
Wewe unadhani hiyo ndio itakuwa fair?

Waza haya maswali.
1. Utaratibu huo unaopendekeza (old graduated applicant to be first priority), kwanini utumike kwa waalimu tu na sio kwa ajira zingine za serikali kwa miaka yote iliyopita?
2. Unawezaji kutambua kuwa mhitimu wa zamani zaidi alikuwa hana ajira kabisa tangu ahitimu au kwa kipindi chote hicho cha nyuma huenda alikuwa hana interest ya ajira ya serikali?
3. Kwanini usiwaze kuwa mhitimu wa zamani ni mtu mwenye uzoefu zaidi hivyo atakuwa na uwezekano mkubwa zaidi wa kufaulu usahili kuliko mhitimu mpya?
4. Ukimaliza kuwaza hilo la uzamani kuwa sifa, vipi utaepuka suala la uwiano wa Kijinsia, kiumri, kanda, mikoa na makabila?
Mbona nimeelezea vizuri tu? Nimekwambia wengine unaowasemea sijuwi hata reasoning capacity Yao ipoje Hadi wakubali kupelekwa pelekwa kiasi kile.
 
Mpumbavu ni wewe unaeshupaza kichwa Kwa kitu kisichokuhusu. Kazi yako ya uchawa ni mbaya Sana/hatarishi mno. Imagine ningekuwa nakujua Kwa sura sijuwi tu ingekuwaje maana mpaka Sasa sikujui ila natamani tu upitiwe na hata gari la abiria njia panda yoyote maana unaonekana kero Kwa wengine huku wewe ukijiona bonge la smart. Ni hayo tu hatua zingine zinaweza fuata.
Kwann umalize chuo 2015 afu ukae kusubiri ajira serikalini, huo n upumbavu bora mkose kazi wote tuu
 
Mpumbavu ni wewe unaeshupaza kichwa Kwa kitu kisichokuhusu. Kazi yako ya uchawa ni mbaya Sana/hatarishi mno. Imagine ningekuwa nakujua Kwa sura sijuwi tu ingekuwaje maana mpaka Sasa sikujui ila natamani tu upitiwe na hata gari la abiria njia panda yoyote maana unaonekana kero Kwa wengine huku wewe ukijiona bonge la smart. Ni hayo tu hatua zingine zinaweza fuata.
Yn mnataka na waliomaliza juzi juzi nae akae mtaani miaka 10 kama ww 😂 dah hy n roho mbaya ya wazi wazi kabisa

Usaili n lazima hata kama mtahiniwa asipotaka.
Utumishi shikilieni hapo hapo, msiachie 🔥
 
Hakuna anaekataa usaili. Inaonekana una akili za kuvukia Barbara. Basi tumia vizuri hata hizo kiduchu ulichonacho 🐕‍🦺 wewe
 
Usaili ni lazima, safari h umepata 0% endelea kukaa nyumbani mpaka 2125 ajira mpya zitakapotangazwa na ujaribu tena bahat yako labla utapata 49% ambayo bado huwez kuajiriwa 😂
 
Ngoja mm nikachukue barua yangu nikaripot kituon✊
 
Pole sana mkuu. Sio haki kabisa mtu amemaliza maiaka ya 2015s uje mshindanishe na mtu wa 2023s aise yan it's not fair kabisa.
Pole sana Walimu, ila nachokiona mimi, Walimu wengi wanapenda mteremko, hawakati ushindani. Kazi za utumishi ni kazi zenye lawama nyingi sana, zamani kabisa walikuwa wanachuja kabda ya watu kuitwa kwenye usaili, kwa maana kati ya maombi labda 100, wanachuja then wanaita watu 50 labda kwa ajili ya interview za ushindani, lakini hii njia ilileta shida sana sana, maneno ya mchujo haupo fair ulisikika, ili kuweke ili jambo sawa, wakaona ni bora hata kama nafasi zinatangazwa nne, weka dirisha open waombea hata watu 1,000, baada ya hapo wapitie kwenye interview mpaka hatua ya mwisho na washindi kupatikana. Na hii njia ni nzuri sana, watu wengi tumeikubali , kwasababu imefuta malalamiko ya muda mrefu.

Ndugu Walimu, hii njia inayotumika sasa, ndio njia kwa kada zote za nchi hii inatumika kwenye kupata ajira,uzuri wa njia hii, kama wewe ni bora hauwezi feli interview,kama wewe ni bora hata watu 10,000 waitwe kwenye interview, basi wewe bora utatoboa tu.

Na issue ya marks ya kusema cut-off point ni 50, hizi marks zinabadilika kwa interview zote hata kada zingne, cut-off point itategemea na idadi ya watu, hiyo ni standard,haiwezekani interview inataka watu 20, na cut-off point ni marka 50, then watu 40 wote wamepata marks zaidi ya 70,basi wote uwachukue hata kama itazidi idadi ya watu 20 wanaoitajika, hakuna interview kama hii Ndugu Walimu.

Poleni sana ndugu zangu, nyinyi mushazoea kupata kazi bila interview, kwa sasa serikali haiwezi kupawa ajira wote, kwahyo interviww haikwepeki.
 
Hawa waalimu waliopata 0% bado wana hasira hawawezi kukuelewa.
 
Kama haujaelewa Kaa kimya. Hakuna anaekataa usaili Wala anaekataa wingi wa wahitimu. Tunachotaka ni usawa na haki itendeke. Eg waliomaliza let say 2015,2016,2017 wanaweza sailiwa Kwa pamoja na siyo mtu hata kitaa hajakaa afu aje afanyiwe usaili sawa na aliyemaliza 2015 hiyo ndiyo hatutaki. Tanzania ni yetu sote
Mbona hivyo ndio wanafanya kada zingine ndugu zangu, acheni lawama ndugu Walimu.
Tena kada kama za ICT zinaInterview tatu, oral ,practical na written. Acheni lawama, hizo ni mambo ya kawaida, na hata kada zingine zipo hivyo.
 
Waalimu, madaktari na kada baadhi hawakuzoea interviews kwa hiyo ajira zilikuwa ni za bahati bahati hadi watu wasio compitent kupata.

Mimi naona system ikazwe iwe kama wanavyopatikana tutorial assistants kwenye vyuo baadhi ama wafanyakazi katika private sectors.

1. Written
2. Oral
3. Practical

Na baada ya hapo wasipewe permanent contract. At least miaka mitano then wafanyiwe review, kama ni wabovu wafukuzwe. Yani wapewe permanent contract baada ya miaka kumi maana hii job security ni chanzo cha udhembe.
 
Kama haujaelewa Kaa kimya. Hakuna anaekataa usaili Wala anaekataa wingi wa wahitimu. Tunachotaka ni usawa na haki itendeke. Eg waliomaliza let say 2015,2016,2017 wanaweza sailiwa Kwa pamoja na siyo mtu hata kitaa hajakaa afu aje afanyiwe usaili sawa na aliyemaliza 2015 hiyo ndiyo hatutaki. Tanzania ni yetu sote

Huyo wa 2015 ana competitive advantage gani kuliko huyu fresh graduate?...
 
Kama haujaelewa Kaa kimya. Hakuna anaekataa usaili Wala anaekataa wingi wa wahitimu. Tunachotaka ni usawa na haki itendeke. Eg waliomaliza let say 2015,2016,2017 wanaweza sailiwa Kwa pamoja na siyo mtu hata kitaa hajakaa afu aje afanyiwe usaili sawa na aliyemaliza 2015 hiyo ndiyo hatutaki. Tanzania ni yetu sote
Hoja yako ni nzuri lakini haina mashiko. Mm nilifanya oral interview ya somo mojawapo la usaili unaoisha leo. Kwenye panel yetu tulikuwa 17 na aliyemaliza karibuni zaidi kwenye panel ni wa 2020 (mmoja), 2019 (mmoja). Halafu waliobaki wote ni 2018 kurudi nyuma. Kwa hiyo kumaliza zamani au kumaliza karibuni hakuna uhusiano wowote na kufaulu usaili hasa wa Utumishi.
 
Mbona hivyo ndio wanafanya kada zingine ndugu zangu, acheni lawama ndugu Walimu.
Tena kada kama za ICT zinaInterview tatu, oral ,practical na written. Acheni lawama, hizo ni mambo ya kawaida, na hata kada zingine zipo hivyo.
Walimu
Pole sana Walimu, ila nachokiona mimi, Walimu wengi wanapenda mteremko, hawakati ushindani. Kazi za utumishi ni kazi zenye lawama nyingi sana, zamani kabisa walikuwa wanachuja kabda ya watu kuitwa kwenye usaili, kwa maana kati ya maombi labda 100, wanachuja then wanaita watu 50 labda kwa ajili ya interview za ushindani, lakini hii njia ilileta shida sana sana, maneno ya mchujo haupo fair ulisikika, ili kuweke ili jambo sawa, wakaona ni bora hata kama nafasi zinatangazwa nne, weka dirisha open waombea hata watu 1,000, baada ya hapo wapitie kwenye interview mpaka hatua ya mwisho na washindi kupatikana. Na hii njia ni nzuri sana, watu wengi tumeikubali , kwasababu imefuta malalamiko ya muda mrefu.

Ndugu Walimu, hii njia inayotumika sasa, ndio njia kwa kada zote za nchi hii inatumika kwenye kupata ajira,uzuri wa njia hii, kama wewe ni bora hauwezi feli interview,kama wewe ni bora hata watu 10,000 waitwe kwenye interview, basi wewe bora utatoboa tu.

Na issue ya marks ya kusema cut-off point ni 50, hizi marks zinabadilika kwa interview zote hata kada zingne, cut-off point itategemea na idadi ya watu, hiyo ni standard,haiwezekani interview inataka watu 20, na cut-off point ni marka 50, then watu 40 wote wamepata marks zaidi ya 70,basi wote uwachukue hata kama itazidi idadi ya watu 20 wanaoitajika, hakuna interview kama hii Ndugu Walimu.

Poleni sana ndugu zangu, nyinyi mushazoea kupata kazi bila interview, kwa sasa serikali haiwezi kupawa ajira wote, kwahyo interviww haikwepeki.
Hizi interview za utumishi ambapo wanaita watu wengi almoat 25,000 pengine wanahitajika walimu 1000 tu, sio kwa walimu peke yenu, isipokuwa kwa upande wa walimu wanaonekana wapo wengi sana wasio na ajira hivyo basi idadi inakuwa kubwa, lakini hilo wala lisimuogopeshe mwalimu yeyote.

Mimi ni miongoni mwa wahitimu wa hivi karibuni na bado sijapata kazi serikalini kulingana na kada yangu na tangu nimalize chuo hawajatoa ajira serikalini.

Sasa kwa kuwa nimekuwa nikifuatilia haya mambo ya utumishi na interview zao hasa kwa upande wa madaktari wa binadamu (MD). Iko hivi Utumishi wanawafanyisha interview mbili written na oral, then watu kibao tu wanakuwa wamepass lakini changamoto nafaso za ajira ni chache hivyo wanaajiri watu idadi flan wengine wanakosa, lakini jambo zuri kabisa kwa mfumo wa sasa wa utumishi ni kitu inaitwa DATABASE, maana yake taarifa zako wewe uliyefanyiwa interview zonakuwepo, ikitokea wanahitajika walimu 50 mahali fulani, wanaita tu hawawafanyishi intreview tena, na hii sasa inakuwa inaokoa sana gharama mbalimbali, interview moja watu wengi then wanakuwa wanaita kadiri nafasi zinavyopatikana.
Kwa hiyo ndugu zangu kama wewe ni mwalimu na ulifanya interview passed na unapenda kazi yako ya ualimu japo haujaitwa kazini kwa sasa wala usiwe na wasiwasi sana, nafasi zikipatikana utaitwa cha msingi sali.

Lakini sasa kwa kipindi hiki inatakiwa ufanye mbinu nyingine za kujiingizia kipato kwa njia halali ili maisha yaendelee na unaweza kujikuta umejiajiri mahali unapiga mpunga mrefu kiasi usitamani tena hizi kazi

ALL THE BEST kwenye njia zetu za utafutaji.
 
Wewe ndiyo ulifail na mpenda sifa mwenzako(marehemu kayombo maana hamkufikisha hata 50%. Je, aliyepata 90% afu hajawa selected unamchukuliaje?
Nan kapata tisini na hajawa selected, ? Na walokuwa selected wamepata 100 tu ?
 
Kilio chenu waalimu kimesikika kwa rais, ameahidi mwakani ataajiri waalimu ila usaili uko pale pale 😎

20250224_191622.jpg
 
Back
Top Bottom