third eye chakra
JF-Expert Member
- Dec 27, 2023
- 713
- 1,745
1.Nataka Nisaidiwe Kuamsha/Kuzindua Kundalini Gharama Shilingi NGAPI?
🗣️JIBU;- Kuamsha Kundalini Hakuna Atakae kusaidia Si mchawi wala mganga Wala mtabiri Wa Nyota, Hakuna Dawa wala Pete ya kuvaa Itakayo Kusaidia Kuamsha Kundalini.
✍️Hii Ni Nguvu Yako mwenyewe Ipo Ndani YAKO, Mwenye Jukumu La Kuizindua Nguvu Hiyo Ili ianze Kutenda Kazi Ni wewe Mwenyewe.
🧘♂️Na MEDITATION/TAHAJUDI NDIO UFUNGUO WA KUKUWEZESHA KUAMSHA NGUVU HIYO.
🫵Unatakiwa Kufanya Meditation/Tahajudi Kila Siku Angalau Mara Mbili Au ZAIDI, Kisha Itaamka YENYEWE Na Utaona Dalili Au Ishara Fulani Fulani mwilini.
2.Mimi Nimefanya Meditation/Tahajudi Jana Usiku Lakini Sijaona Matokeo YOYOTE, Kwanini?
🗣️JIBU; Ndugu Zangu Kazi Ya Kuzindua Hii Kundalini Ndani YAKO Au kuifungulia Ili Ianze Kutembea Katika Damu yako Sio Kazi NDOGO.
Inahitaji Uwe Na MOYO, Pia uwe mvumilivu.
🫵KUNDALINI HAITA AMKA NDANI YAKO KWA KUFANYA MEDITATION KWA SIKU MOJA, BALI Itakuchukua Muda Mrefu Si Chini Ya miezi miwili Endapo Utafanya Kwa Ustadi Bila kukosea Na Kila Siku bila Kuacha Mfululizo.
INAHITAJI UVUMILIVU NA MOYO.
✍️Ili Kuelewa Vizuri Mafundisho Yangu Ninayo kuletea Unatakiwa KUPITIA/KUSOMA MAFUNDISHO YA NYUMA VIZURI KISHA U-LINK NA FUNDISHO JIPYA.
🗣️ILI KUELEWA VIZURI MAFUNDISHO YA KIROHO UNATAKIWA KUJUA MAMBO YAFUATAYO AMBAYO NITAKUJA KUKUFUNDISHA MBELENI MUDA UKIPATIKANA;-
🫵UJUE KITU KINACHO ITWA "SPIRITUAL AWAKENING" AU KUAMKA KIROHO.
🧘♂️Kuamka Kiroho Ni Jambo muhimu Na Ni Somo Lefu mno, Hapa Sasa DINI, IMANI, BIBLIA NA QUR'AN Yote Hayo Hayatokusaidia Kuamka Kiroho, Bali Kuamka Kiroho Huchomoza Ndani Yako Naturally/Kiasilia Bila Kufundishwa Wala Kuelekezwa Na MTU.
Yaani Utaanza Kutambua Ukweli Wa Ulimwengu Pasipo Kuambiwa Na MTU Na Ngazi Hii Ni Bora Kuliko Kundalini.
🫵LAZIMA UFAHAMU KITU KIITWACHO "HIGH-SELF" (HII NI KAMA SPIRIT AU ROHO IKUONGOZAYO WEWE TANGU ZAMANI ULIZALIWA NAYO NA NDIO WEWE MWENYEWE)
🫵Hapa Ni Pagumu Kuelewa Ila, Kitu Hiki kiitwacho "HIGH-SELF" Ni Kama Roho Inayoambatana Nawe Tangu Zamani Na Ndie Rafiki Yako mkubwa Na Ni wewe Mwenyewe HALISI Wa Ndani.
Ni hivi Kuna Mtu Nilimuuliza Wewe Ni Nani?
Mmoja Alinambia Yeye Ni Mwalimu
Mwingine Aliniambia Yeye Ni Kaka
Mwingine Aliniambia Yeye Ni Mtoto
Mwingine Aliniambia Yeye Ni Mfanyakazi wa kampuni Ya Vodacom!
Kwa Majibu Hayo Inaonyesha Hawajitambui Wao Ni Akina Nani, Unapo Sema Wewe ni Mwalimu Je, Siku ukifukuzwa Kazi Utakua Nani Sasa? Najua utasema Nitakua mume au mke wa Fulani, Sasa Siku Mume wako au mke wako Akifa UTAITWA Nani? Mbona Unabadilika badilika Wewe ni Nani Hasa?
🫵Ukisema wewe Ni Mtoto,Siku wazazi wakifa Itakuaje, Utakua Nani Hasa? Sasa Hivyo vyote Sio wewe, Wewe Sio Mwalimu, wewe Sio MCHUNGAJI wewe SIO Engineer HIVYO NI Vitambulisho Vyako Vya Nje Katika Ubinadamu na Vinaweza kukupotea Muda wowote Ule.
🫵SASA WEWE NI NANI HASA?
🫵Wewe Ni Wa NDANI, SIKU ukifa Ndipo Utajijua kua wewe Si Mwalimu wala Engineer Bali HIVYO vilikua Ni Vitambulisho Vyako Vya Nje Ulipokuwa na Mwili Wa Kibinadamu.
🫵SASA UNATAKIWA KUJITAFUTA WEWE NI NANI HASA, ZINGATIA WEWE NI WA NDANI WEWE UKO NDANI, HUU MWILI NI VAZI TU LITAPOTEA WAKATI WOWOTE ULE.
👉JITAFUTE WEWE NI NANI, UKIFANIKIWA KUJITAMBUA UTAKUTANA NA MAAJABU MAKUBWA, NA UTAANZA KUONA YASIYO ONEKANA AMBAYO WENGINE HAWAONI NA MAMBO MENGINE YOTE YALIYO BAKIA YATAKUA MARAHISI KWAKO.
👉(NITAKUJA KUELEZEA HII JINSI YA KUJiTAFUTA )
🗣️•JAMBO JINGINE UNATAKIWA KUJUA KITU KINACHO ITWA "ASTRAL TRAVEL" YAANI KUFAANYA SAFARI BILA MWILI HUU WA DAMU LIVE.
Kwa maneno Menginne Tunaita Astral Projections Au Kutoka Nje Ya Mwili Na Kusafiri Kokote Utakapo hata kama Ni kuzimu Au Mbinguni Utafika Kirahisi Kabisa Na Malaika Utawaona Macho kwa Macho.
(NIMESHA WAHI KUELEZEA HUKO NYUMA FACEBOOK HII)
🫵•KINGINE NI "DEATH MEDITATION" YAANI TAHAJUDI YA KUFA,
-Hii Ni Meditation Ya Ajabu, Yaani Wataalamu Wanasema "Binadamu Anashindwa kuona Siri za Dunia Na mambo Yaliyo Jificha Kwasababu Mwili huu Ni Kizuizi" kwakua Mtu Akifa Roho Inayobaki Inauwezo mkubwa wa kuona Yasiyo onekana bila Kizuizi, Kupambana Na majini Bila kushindwa Na kujua Mambo Mengi Kwa muda mfupi.
🫵Sasa Meditation Ya Kufa, Ni Ufundi Wa Kukufanya Ufe Kabisa Na Roho yako Itoke Huku Ukiwa hai Ukatazame Siri za Ulimwengu Na Ukweli Ambao Watu Wazito Wanawaficha Na Waliwaficha Tangu Zamani, Pia Utaona Uongo Wa Dini Na Imani Za magharibi, Na Malengo Ya IMANI Hizo. Haya Yamefichwa Ni Siri Ila Ukifanya TAHAJUDI Ya Kufa Utaysona Wazi kisha Utarudi Katika uhai ukiwa Na Ufunuo.
🫵Hata Manabii Wa Zamani akina Yohana,MUSSA,Isaya , Ezekiel na wengineo
Wameeleza katika VITABU Vyao Mahali kua "Walichukuliwa Katika Roho, Yaani Roho Iliuacha Mwili kwa muda (Walikufa Kwa Muda) kisha Wakaanza kufunuliwa Mambo Ya Mbinguni, na Mambo Yajayo Yatakayo Ipata Dunia Live"
🫵SASA WEWE USISUBIRI MPAKA UCHUKILIWE TAHAJUDI YA KUFA UTAKWENDA KUONA HAYO MAFUNUO YA MBINGUNI MWENYEWE NA UTAONA MAONO YA MAMBO YAJAYO YATAKAYO IPATA DUNIA.
🫵UKITAKA KUWA NABII AU MTABIRI MKUBWA HAPA DUNIANI WA UKWELI JIFUNZE HII TAHAJUDI/MEDITATION UTAKUJA KUNIAMBIA NILISEMA.
🫵ILA KWA HILI SOMO NITALIFUNDISHA TUU SIKU ZA KARIBUNI.
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏