Mchakato wa kuamka kiroho sio suala la siku moja, hivyo tudumu kufanya meditation sana ili tupate kusudio letu hapa duniani

Angalia youtube video za wazungu, yeah style za kukaa zipo nyingi hata kwenye kochi unakaa cha muhimu u relax na majibu mengine utayapata youtube andika how to do 5 minutes meditation
 
Hii yote ni kutafuta shortcut ya mafanikio kimaisha

Tuchape kazi(in Magufuli voice)
 
nop waweza kaa kwenye kiti ili mradi uwe comfortable ndio lengo kaa mkao unaojuabhutaumia na mgongo unyooke
Nimekusoma.
NIsaidie kitu kingine, hiv what exactly is meditation. ? Mtu anakua anafikra gan hasa mpaka tuseme sasa huyu anafanya meditation??
 

Efeso 2:8-10​

Kwa maana mmeokolewa kwa neema, kwa njia ya imani; ambayo hiyo haikutokana na nafsi zenu, ni kipawa cha Mungu; wala si kwa matendo, mtu awaye yote asije akajisifu. Maana tu kazi yake, tuliumbwa katika Kristo Yesu, tutende matendo mema, ambayo tokea awali Mungu aliyatengeneza ili tuenende nayo.
 
Hii Ni Nguvu Yako mwenyewe Ipo Ndani YAKO, Mwenye Jukumu La Kuizindua Nguvu Hiyo Ili ianze Kutenda Kazi Ni wewe Mwenyewe.
Waambie kabisa ukifika kileleni kwenye Crown utaumwa sana na usijue unaumwa nini hata ukienda hospital ugonjwa hautoonekana unatakiwa kurudi ndani na kuiweka sawa utapona ghafla na baada ya hapo utawaka km nyota angani kila unachogusa kinageuka dhahabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…