OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Ndio lishakuwa lao hilo RASMI[emoji1][emoji1][emoji1]"Utopolo" hili jina watadumu nalo kwa muda mrefu sana ujao, mpaka sasa hawajaonesha jitihada zozote za kuondokana nalo.
halafu tuwapelekea moto...peleka motoHata wasusie vpl,tutawakuta kwenye f.a huko tunakamata mkono tunapeleka geto.
Sawa manunu fc"Utopolo" hili jina watadumu nalo kwa muda mrefu sana ujao, mpaka sasa hawajaonesha jitihada zozote za kuondokana nalo.
Kwenye FA wanatolewa na Biashara,na VPL Simba bingwa na Azam mshindi pili, yaani hata mwakani hawapandi ndege watakomaje hawa nyani !!!Hata wasusie vpl,tutawakuta kwenye f.a huko tunakamata mkono tunapeleka geto.
Watapanda mkuu but kwa mbeleko ya simba maaana tunaingiza timu nne msimu ujao.😁Kwenye FA wanatolewa na Biashara,na VPL Simba bingwa na Azam mshindi pili, yaani hata mwakani hawapandi ndege watakomaje hawa nyani !!!