Mchakato wa Yanga kutoingiza timu waanza,Simba Sc punguzeni vitisho

Mchakato wa Yanga kutoingiza timu waanza,Simba Sc punguzeni vitisho

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
20210526_121025154441.jpg
Hapa ni msemaji wa Yanga akitest mitambo kuona mwitikio. Mengi zaidi yatajiri hivi karibuni.

Nawaomba Simba Sc wenzangu hasa Haji Manara na fans wa mitandaoni wapunguze vitisho kwa Yanga. Ni vile tu Yanga hawawezi kusema tunatishwa na Manara.

Wanaandika kwenda dokezo TFF wakidai Simba wanawatisha watafunga geti, watafunga kwa kanuni ipi?!! 🤣🤣🤣🤣
 
Hivi kweli huyu ni mmoja wa viongozi wa yanga kweli?

Ndio kusema hajui kuwa wanaowapiga vijembe ni Simba na wanaopanga ratiba ni kamati ya ligi?

Ninaanza kuwa na mashaka hata kile walichoita ugomvi na TFF kumbe huenda ni ule utani wa Simba.Kama kiongozi hawezi kutofautisha watani wake na mamlaka zinazosimamia soka,basi soka letu bado liko mbali sana.Kufika sio leo
 
Hata wasusie vpl,tutawakuta kwenye f.a huko tunakamata mkono tunapeleka geto.
Kwenye FA wanatolewa na Biashara,na VPL Simba bingwa na Azam mshindi pili, yaani hata mwakani hawapandi ndege watakomaje hawa nyani !!!
 
Back
Top Bottom