Comrade wetu katika umoja wetu wa wa fanyabiashara za umachinga wakubwa kapata tatizo kubwa la kia afya ya kindeney trans-plant uko Appolo india, medical bill pamoja na vifaa tiba, usafiri wa watu wake wa karibu wawili maladhi pamoja na meals bill imekuja US $95,000 sawa na roughly 210m za shilling za kitanzania, umoja wetu pamoja individual contribution tume toa 110m, mgonjwa atafute 100m kwa marafiki zake.
Sasa huu ni mwezi wa pili ndugu na marafiki zake wamechangia 13m na laki nne tu wakati deadline ya appointment hospitali ni tarehe 3/8. tatizo kubwa, pamoja na phonebook yake kujaa majina ya watu ila wengi wana kipato duni, na hawana roho ya kusaidia mwenzao, kuliko sie watu baki
"Kutoa ni moyo sio utajiri".