Mchambue marafiki; kuna wa maendeleo na wa misiba na mazishi tu

Wengine ndio wanategemewa wawavushe ndugu na jamaa kwenye majanga,Sasa wakiumwa ndo inakuwa hivyo....tofauti na familia za kiarabu au kihindi wao cycle Yao ni nzuri karibu wote wana mawe. Sisi huku unakuta ukoo mzima don ni mmoja tu...cha muhimu ni kwamba maisha yanahitaji nidhamu sana hasa namna ya kuishi maana mambo ya kusema Kila mmoja atakufa ni kujifariji.
Tuna rogana, kuiibiana, hatupendani, tuna fitiniana, na kumbuka kuna jama yangu katika famila fulani alipata cheo kwenye mamlaka fulani serikalini, mle ndani kulikua na ndugu zake wawili baba moja mama tofauti, walivo pendekeza kupunguza wafanya kazi yeye, aliza kupunguza ndugu zake wakwanza wengine wa kafuatia, kila ntu ali muongopa huyu jama kwa roho mbaya.
 
Ndio uwezo wetu wa kipato kwa almost 70% ya WaTz.

Ndio maana humu ukiibuka mjadala wa kuwasimanga diaspora huwa nakaa pembeni nicheke. Tanzania huwa tuko delusional sana na hatujui kesho yetu.

Anyways sijui nilitaka kusemaje… i have a friend (diaspora) anauguliwa na mzee wake yuko Apollo mwezi wa 2 huu, na bills anasimamia peke yake na baadhi ya marafiki zake, diaspora wenzie.

Sisi tuendelee kuomba Mungu na kuisifia CCM.
 
Hao wenye diaspora ndo tunao ponda kila siku kwamba ni wabeba ma box wanashindwa na kusafirisha maiti ikitokea mwenzao amefariki, lakini ukweli ni kwamba wana unafuu wa maisha ukilinganishi na wengi tunao jiona kua na kazi za hadhi.
 
Wewe nawe wangapi wako diaspora na hali ni hoi bin dhaifu kifedha? Same kama ilivyo kuna watu kibao bongo wanapeleka wagonjwa nje bila msaada wa harambee. Ugumu wa maisha ni suala la mtu binafsi zaidi kuliko wapi anaishi
 
Ni aheri wao mara 100%

Usichukulie hiki kitu personal, Sio muda wote ubishi tu… tazama uhalisia, zingatia kanuni za ulinganishi.
 
Ndio uwezo wetu wa kipato kwa almost 70% ya WaTz.

Ndio maana humu ukiibuka mjadala wa kuwasimanga diaspora huwa nakaa pembeni nicheke. Tanzania huwa tuko delusional sana na hatujui kesho yetu.

Anyways sijui nilitaka kusemaje… i have a friend (diaspora) anauguliwa na mzee wake yuko Apollo mwezi wa 2 huu, na bills anasimamia peke yake na baadhi ya marafiki zake, diaspora wenzie.

Sisi tuendelee kuomba Mungu na kuisifia CCM.
Hii sentensi ya mwisho ndio inatumaliza sana kama Taifa.

Madam ni miezi 3 sasa imepita tangu uniahidi kuwa utaruhusu niwasiliane nawe PM.

Nitashukuru iwapo utalifanyia kazi lengo langu kupata uzoefu kutoka kwako.
 
Basi utanisamehe kwa hllo kama kuna kundi nime litaja na limekuumiza, ebeu niende ku edit nitowe huo mtagaruku wa makundi ya watu, ila naimba munielewe hoja yangu ya watu kutojua watu muhimu wa kuwa saidia na kukumbatia ndugu na rafiki wasio kua na uwezo na roho ya kutoa.
Hii swahili imekaa mbaya...
 
Uchumi sio mzuri kwa wengi kwani ndio hali halisi sio kwamba watu wanapenda, hivyo wapokee chochote watu wanachowapa.
 
Hao wenye diaspora ndo tunao ponda kila siku kwamba ni wabeba ma box wanashindwa na kusafirisha maiti ikitokea mwenzao amefariki, lakini ukweli ni kwamba wana unafuu wa maisha ukilinganishi na wengi tunao jiona kua na kazi za hadhi.
True mkuu
 
Comrade wetu katika umoja wetu wa wa fanyabiashara za umachinga wakubwa kapata tatizo kubwa la kia afya ya kindeney trans-plant uko Appolo india, medical bill pamoja na vifaa tiba, usafiri wa watu wake wa karibu wawili maladhi pamoja na meals bill imekuja US $95,000 sawa na roughly 210m za shilling za kitanzania, umoja wetu pamoja individual contribution tume toa 110m, mgonjwa atafute 100m kwa marafiki zake.

Sasa huu ni mwezi wa pili ndugu na marafiki zake wamechangia 13m na laki nne tu wakati deadline ya appointment hospitali ni tarehe 3/8. tatizo kubwa, pamoja na phonebook yake kujaa majina ya watu ila wengi wana kipato duni, na hawana roho ya kusaidia mwenzao, kuliko sie watu baki

"Kutoa ni moyo sio utajiri".
Kwa hiyo 123 m anatibiwa Muhimbili bila shida.
Tatizo mnadharau vya kwenu.
 
Comrade wetu katika umoja wetu wa wa fanyabiashara za umachinga wakubwa kapata tatizo kubwa la kia afya ya kindeney trans-plant uko Appolo india, medical bill pamoja na vifaa tiba, usafiri wa watu wake wa karibu wawili maladhi pamoja na meals bill imekuja US $95,000 sawa na roughly 210m za shilling za kitanzania, umoja wetu pamoja individual contribution tume toa 110m, mgonjwa atafute 100m kwa marafiki zake.

Sasa huu ni mwezi wa pili ndugu na marafiki zake wamechangia 13m na laki nne tu wakati deadline ya appointment hospitali ni tarehe 3/8. tatizo kubwa, pamoja na phonebook yake kujaa majina ya watu ila wengi wana kipato duni, na hawana roho ya kusaidia mwenzao, kuliko sie watu baki

"Kutoa ni moyo sio utajiri".
Mbona nyingi sana mzee mmepigwa. Milion 85 inatosha sana kufanya transplant lakin pia hujaeleza dona mnae au mnaenda kupewa na hospital. Wahindi ni wahun mkicheza inakula kwenu mazima. Kwenye familia yetu tulipata hili tatizo ilinitoka mia nzima. Lakin kapona kabisa ila atakuwa anatumia dawa maisha yake yote na kuna baadhi ya vyakula hali. Ukimuona hutajua.
 
Kwa mchango gani ? Inategemea na wewe upo level gani kwa sababu kama kipato chako kikubwa utakuwa una'mingle na watu wa juu .

Sisi harusi tu hapa ofisini mchango unagonga mpaka 18 mil tena normal sana .
Acha siku mmoja wenu abanwe ktk 18 za homa ya ini,ndio mtajua mko serious na huo umoja au mko serious na furaha peke yake😄😄.

Siombei hilo lakini.
 
Kwa ngazi ya ofisi tushachangia pesa jamaa akapelekwa India ,kweli ukikaa na wenye pesa utapata michango hata ukiwa tajiri.

Alivyorudi alikaa mwaka mmoja na nusu akapand cheo na kuhamishwa mazima

Yule Davido alioga noti kweny harusi yake , lazima utapata watu weny pesa kama wewe .
 
Back
Top Bottom