Comrade wetu katika umoja wetu wa wa fanyabiashara za umachinga wakubwa kapata tatizo kubwa la kia afya ya kindeney trans-plant uko Appolo india, medical bill pamoja na vifaa tiba, usafiri wa watu wake wa karibu wawili maladhi pamoja na meals bill imekuja US $95,000 sawa na roughly 210m za shilling za kitanzania, umoja wetu pamoja individual contribution tume toa 110m, mgonjwa atafute 100m kwa marafiki zake....
Sasa hu ni mwezi wa pili ndungu na marafiki zake wamechangia 13m na laki nne tu wakati deadline ya appointment hospitali ni tarehe 3/8. tatizo kubwa, mapoja na phone book yake kujaa majina ya watu ila wengi wana kipato duni ni watumishi "wage earners" michango yao wengi ni 50,000 30,000, 10000, mpaka 100k hamna wa 1m hata moja, kila siku anajisia kua na marafiki wengi kumbe wengi ni waalimu, Nurse police mama tilie machinga wadogo na wakabila lake nk.
Mwenye mwoyo wa kutoa hapa jf kuanzia 100k njoo inbox nikupe details zake na vidhiibitisho zaidi utume hiyo pesa hospitali india moja kwa moja kwenye ac ilio funguliwa kwa ajiri ya matibabu tu sio kwa mtu na sio kwake pia. Chini ya 100k hapana "Kutoa ni mwoyo sio utajiri"