Mchambue marafiki; kuna wa maendeleo na wa misiba na mazishi tu

Wema ni Akiba
 
Mkuu lla kuna rafiki moja katowa 15m mgine 10 mgine 7, mtu ungetaguta marafiki ws uwezo 5, tu kuliko kua na majina 300 ya marafiki ambao hawawezi kukutatulia tatizo ata la 20m. Umasikini upo hilo sio sili ila na watu wenye pesa wapo.

Tanzania hii wenye huo uwezo wa kuchangia MILIONI 15 Kwa ràfiki hawafiki Milioni Moja.
Kwèñye hiyo Milioni Moja wamegawanyika mikoa 31

Inamaana kîla Mkoa wàpo 33k weñye uwezo wa kuchangia 15M
Upo Dsm kûna wilaya sita inamaana kîla wilaya Watu elfu Tano wanauwezo Kutoa hiyo 15M
Katika kîla wilaya kûna kata labda 20. Hivyo kîla Kata inawatu Mia Mbili 250 weñye uwezo wa Kutoa hiyo 15M. Kîla kata kûna mitaa 20. Hivyo kîla mtaa kuna Watu 12 weñye uwezo wa Kutoa 15M
Kîla mtaa unanyumba 20.

Kutafuta marafiki kwèñye Mtaa weñye uwezo wa Kutoa 15M siô KAZI rahisi
 
Ulikuwa na wazo zuri, umeshindwa kuliwasilisha, wazo lako la jumla limejijenga ktk dharau.


Wakati wa kufa ukifika, hata kama unaurafiki na Chief Hangaya, utakufa tu.
Mkuu hapana lengo sio dharau na jitahidi kufikisha somo nilio pata kwenye scnario hi, hili tujigunze kabla ya wakati ule kutufikia.
 
Mbona kama unamsimanga mgonjwa? Wewe umemchangia shilingi ngapi ?, naona ulitaka uwe peke yako kwenye phone book yake. Sikiliza, kuna marafiki wa kuchanga pesa na wengine wa kufagia tu uwanja wa sherehe au msiba, na kugawa maji. Sio lazima wote tuwe matajiri, acha masimango.

Ubaya ubwela undugu umala.
 
Yaani kupata circle ya marafiki wanaoweza kukupa 10 miln ya haraka,sio mafanikio tu ni conection tayari.

Sasa embu tunaomba mbinu ya kuwapata hao marafiki ikiwa wewe binafsi huna hela,maana akina Dr Janabi wana marafiki zao wa kariba ile,akina Mpina wana marafiki aina yao nk.
 
Mbona Tundu Lissu kapata Prado ya Milioni 70 kwa michango ya buku buku?

Acha dharau.
Hilo ni publicity ya kisiasa kutafuta public sympathy, kwanza hiyo pesa ya kununua gari nyingine alikua nao, sema anatumia hilo tukia kupata political capital
 
wage earners" michango yao wengi ni 50,000 30,000, 10000, mpaka 100k hamna wa 1m hata moja, kila siku anajisia kua na marafiki wengi kumbe wengi ni waalimu, Nurse
Matajili wanapoomba misaada,.



Sijapenda style Yako ya kuomba msaada,kama mmebarikiwa si mmalizie na hiyo million 100,

Kuna watu kibao wanakufa kwa kukosa pesa ya kipimo Cha sh laki Moja tu hapa bongo, wengine pesa kwa ajili ya dawa , wengine wameugua magonjwa yanayohusiana na lishe mpaka wanakufa ,afu tajili mmoja anakuja kuomba msaada kwa style ya majungu kama hii, jitafakari bro! Mgonjwa wenu atapona ,japo sisi wote tutakufa ila unahitaji hekima kujua thamani ya uhai dhidi ya ukwasi kwamba ni vitu ambavyo vinaonekana kuendana ila ukweli siyo kweli,

Mnaweza pata hizo 210 ,jamaa akatibiwa ,alafu akaja kufa na presha sababu ya madeni, wakati huo nyie matajili mtakuwa mmetenga maana siyo level zenu tena


Stupidity plus plus. ++++++
 
Mkuu am sorry......kama umenielewa sivyo ile lengo ni tujifunze sisi wengine mimi binafsi nimechangia 2m,personally nje na ya umoja wetu.
 
Na inaweza kuwa kweli maana haiingii akilini uwe na mgonjwa uwaseme vibaya watu kwa nini wanatoa hela kidogo? Wao wenye nyingi mbona wameshindwa hutoa hela yote? Ni ajabu sana.
Mkuu tumetoa pesa nyingi zaidi ya 100m usidharau huyu mgonjwa wetu, alikua na marafiki wengi wana ongea ki lugha chao kila wakati, mbona wakati wa kuchanga hatuoni mchango wao, hilo ni somo unaweza kudharau watu wenye uwezo wakukusaidia kwadbb huna vinasaba nao, sasa ona.
 
Ndio matajiri mlivyo.
Huyo rafiki yenu inaonekana muda mwingi alikuwa na nyinyi mnakula naye Maisha.
Sio kesi malizieni hiyo Hela.
Huyo Jamaa yenu mliyemchangia zaidi ya Milioni Mia alikuwa na uwezo wa kuwatengeneza watu kama yeye wengi kwenye ukoo wake lakini nasadiki hakufanya hivyo.
Unapangaje kiwango Cha kumchangia mgonjwa?!
 
Bakhressa anauza vitu vya 500/- mpaka turn over inafika mabilioni. 4500/- zikiwa nyingi ni hela nyingi
Walaji ni wengi na hana time limit, huyu ana marafiki wachache na kiasi kinacho takiwa ni kikubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…