Mchambuzi: Angekuwa ni Nabi Simba isingefika kwenye matuta

Mchambuzi: Angekuwa ni Nabi Simba isingefika kwenye matuta

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
" Prof Nabi anngepewa mechi Ile ya Simba vs wydadi basi Ile mechi isingefika hata kwenye matuta, ingeishia dk ya 90 wydadi kafungwa Tena goli sio chini ya Moja" farasi wa vita (2023)


Sababu

Prof Nabi ni bingwa wa kusoma mchezo ( genius) that's y kipindi Cha pili lazima upasuke.

Je!!! unadhani prof Nabi ana vitu Gani special

1682777003189.jpg
 
Picha kila mtu anaweza jitengenezea kichwani. Kabla ya mechi ya Simba na Wydad kuna picha zilikuwa kichwani mwa watu.
Sahihi mkuu.....lkn Kuna zile zanakua collectively na Kuna zile za individual ( mmoja mmoja)
Mfano sio wote tulikua Simba atapita
 
Back
Top Bottom