HAA Kitenge Group Wao Wanaunganisha Tu Hata Kama Haileti MaanaKuna mmoja nimemsikiliza sasa hivi baada ya mpira kumalizika kati ya KMC na AZAM nimekaa na mtoto wangu kasema huyu Mlimila hajui Kiingereza.
Kwenye sport wamejaa wajinga wengi sana Kitenge and Compay.
Soo far... Coz..[emoji16][emoji16][emoji16]Maneno Yao makubwa wanayopenda kuchomekea ni though, tactically,win win situation,back to back, consecutive.mengine mtajazia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukikutana na Mgeni hasa Mzungu au Mmarekani Mweusi halafu ukataka kufanya nae Mahojiano basi hakikisha Maswali yako yanakuwa ni mafupi mafupi na ya moja kwa moja sawa?
Muda mfupi uliopita nimekusikia Sports Extra ya Clouds FM ukitumia dakika 5 nzima Kuzunguka Kuuliza Swali la Sekunde 10 au 15 tu huku Ukichapia mno hadi Redio yenu nayo ikazima ghafla.
Kama Wakufunzi wako wa Chuo Kikuu ulichosoma ( UDOM UNIVERSITY ) kama sijakosea kama nao Walikusikiliza nina uhakika watakuwa si tu Wameumia bali watakuwa Wamekasirika mno kwa Kiingereza chako kibovu, cha Kujitafuta na cha Kubabaika.
Na uliponiacha hoi ni pale na Wewe ulipojifanya unaongea Kiingereza cha Kimarekani kwa Kuwaiga Wageni waliokuwepo Studio wakati ukikiharibu kwa Broken yako.
Nilijua nisiyejua Kiingereza Tanzania nzima ni Mimi tu GENTAMYCINE kumbe nina Mwenzangu ( Pacha wangu ) Edgar Kibwana Mchambuzi wa Mpira wa Miguu Clouds FM na Clouds Tv.
Pongezi nyingi kwa Mtani wangu wa Kiha ( kutoka Mkoani Kigoma ) Mtangazaji Prisca Kishamba ambaye Yeye kwa kujua hakijui Kiingereza ( japo anakipenda sana ) aliamua kutokuwa muuliza Maswali ya Kiingereza kwa Wageni na kukaa Kimya na hata Maswali Mawili ya Kiingereza aliyojitutumua Kuyauliza mwishoni alionekana kuwa alitumia muda mrefu Kuyakariri ( Kuyameza ) na aliyauliza kwa haraka sana utadhani kuna Mtu alikuwa anamdai Fedha hivyo anaogopa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Halafu kwa kuchomekea vineno vya kiingereza(kiswanglish) hawa watangazaji wa michezo unaweza kusema ung'eng'e umejaa sema tu anawatangazia wabongo wenzie kumbe hamna kitu.
Sema hata hivyo huku kuendelea kuchekana kwa kukosea kuongea kiingereza bora tungeacha tu maana inajulikana hii lugha ni changamoto kwetu uwe na elimu au usiwe na elimu, sasa kuendelea kuchekana haina maana yeyote.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kiingereza Changamoto sana,... Akilini kinapita vizuri ngoja ufungue kinywa sasa uone shughuli yake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]HAA Kitenge Group Wao Wanaunganisha Tu Hata Kama Haileti Maana
π€ππππ Soo far so goodSoo far... Coz..
Jamani usimwite mtu ni mjinga kwasababu tu hawezi kuongea kingereza kama cha Harry Kane!Kuna mmoja nimemsikiliza sasa hivi baada ya mpira kumalizika kati ya KMC na AZAM nimekaa na mtoto wangu kasema huyu Mlimila hajui Kiingereza.
Kwenye sport wamejaa wajinga wengi sana Kitenge and Compay.
Kuitwa mjinga sio tusi kwani mjinga anafundishikaJamani usimwite mtu ni mjinga kwasababu tu hawezi kuongea kingereza kama cha Harry Kane!
Wee Excel Module ndio nini kwanii??π€kwamba amesoma UDOM UNIVERSITY..
Dah brother na wewe hapa umeliwa kichwa na mwalimu Antonnia kwenye module yake ya Communication Skills.
Na bado inaweza isitoshe pia. Kuna wakati nilikuwa naenda kujifunza vitu fulani vya sanaa pale international school of tanganyika, nahisi kama ningefanya vile kwa miaka mitano mfululizo basi sasahivi ningekuwa natema yai kama mtu wa Birmingham πMTU Kama kasoma dumu fagio inamuhitaji miaka 15 tangu amalize chuo kikuu kujua kiingereza Kwa ufasaha
Kutokujua Kiingereza ni ujinga!?!?Kuna mmoja nimemsikiliza sasa hivi baada ya mpira kumalizika kati ya KMC na AZAM nimekaa na mtoto wangu kasema huyu Mlimila hajui Kiingereza.
Kwenye sport wamejaa wajinga wengi sana Kitenge and Compay.
Upo sahihi mkuuNa bado inaweza isitoshe pia. Kuna wakati nilikuwa naenda kujifunza vitu fulani vya sanaa pale international school of tanganyika, nahisi kama ningefanya vile kwa miaka mitano mfululizo basi sasahivi ningekuwa natema yai kama mtu wa Birmingham π