Mchambuzi Farhan: Simba wametupiga kwenye jezi

Mchambuzi Farhan: Simba wametupiga kwenye jezi

ANAANDIKA Fredy John Jr.

Jezi za Simba SC Ni Nzuri Endapo zisipofananishwa na Zile za Yanga tatizo zinapimwa Ubora na lazima iwe hivyo Lakini ukiangalia Mpangilio wa Matangazo kwenye Jezi za Simba ni Kama Mtu Mmoja Mwenye Uwezo wa kutoa Maamuzi alijifungia kwenye chumba na kuamua hii ikae hapa na tangazo hili likae pale na sio kazi ya kibunifu (Disigner)..........

Inashangaza na kufikisha Sana Mdhamini Kurudiwa rudiwa Mara Mbili kwenye Jezi Moja hii inanyima Fursa kwa Wadhamini wengine kupata Nafasi na inakosesha Klabu Mapato.

NB: Mambo madogo madogo Kama Haya yanaonesha Kuna shida kwenye uongozi na Kama hakuna shida Basi Kuna Sehemu Hakuko sawa.
 
Jezi kununua una ona aibu!

Bora watu mkanunue jezi ya Yanga ata kama ni mpinzani ila ana jezi kali, kila mwaka anatoa kitu kizito sana...!

Huku Simba hakupo shwari kabisa kuna tatizo kuanzia Jezi kuwa na mvito mpaka mpira wenyewe papatu papatu...

Jezi papatu
Pira papatu
Kilakitu papatu
Daah mtafanya Sunderland kula hasara
 
Hakuna shida Acha mahaba mkuu. Umewahi kuona jezi ina matangazo mawili yanayofanana tena ndani ya sehemu moja. Kama ni jambo la kawaida basi wangweka hata kwa nyuma chini ya kola sio mbele kaka. Fikiria nje ya box
Hajui thamani ya mbele ya jezi
 
Jezi kununua una ona aibu!

Bora watu mkanunue jezi ya Yanga ata kama ni mpinzani ila ana jezi kali, kila mwaka anatoa kitu kizito sana...!

Huku Simba hakupo shwari kabisa kuna tatizo kuanzia Jezi kuwa na mvito mpaka mpira wenyewe papatu papatu...

Jezi papatu
Pira papatu
Kilakitu papatu
Aahaaa
 
Wala hakuna shida ni vile TU tumejawa na fikra duni na kudhani kila kitu lazima kifanane. Mara jezi sijui mbovu mara matangazo na blah blah nyingi. Sasa kama yeye atatoa pesa nyingi Kwa matangazo yake hayo.,mnatakaje?

Kama unaona hizo nyingine ndio nzuri, kanunue hizo. Kila kukicha Simba, Simba. Simba that, Simba this, Simba there! Idiots!

Hamna familia za kulisha huko majumbani. Mnarefuka makende TU kila saa. Be men! Yaani mnageuka wambea ghafla. Sijui mnawezaje kuwa hivyo mlivyo!

Aghaghaaa!
Mashabiki wa Simba wana ugonjwa wa kulalamika.
 
Ngoja nifunge mdomo nisije nikanyeshewa mvua za matusi na wahafidhina,na ni vile tu siwez kuhama timu i would have done it a year ago!!mautopolo yanatupiga mno sio siri ni vile tunajikaza kisabuni ila simba kwa sasa hatuko vizuri japo ndio kujifunza kwenyewe
 
Mliwatesa sana ....miaka iliyopita ...now it's ur turns
 
Bila ushabiki, ufafanuzi wahitajika juu ya mkanganyiko huu kwenye jezi mpya.

Wadhamini wamekosekana? Au udhamini wa Mo Extra ni kiasi gani?

Sisi mwaka jana mambo yalikuwa wazi juu ya Haier, mbona kwenu hakuna uwazi?

Mdakuzi
Ngoja niseme kitu b..., sisi mashabiki wa hizi timu tukianza kupekua pekua haya mambo hadi ya wadhamini wa jezi tutajinyang'anya nafasi yetu ya kuwa mashabiki wa mpira wa miguu.

Ndiyo maana haya mambo ya wadhamini na walicholeta huwa tunakipata kwenye mkutano mkuu. Mimi napenda zaidi kuwa shabiki wa soka kuliko kuwa shabiki biashara mtambuka za timu.

Nakwambia kweli b..., haya mambo ya wadhamini siyapi kipaumbele kuyajua yameendaje, ila napenda zaidi kujua timu yake imemsajili nani kwenye usajili na mpango wa kushinda mechi ukoje.

Hili la mdhamini, tutajua tu kwenye mkutano wetu mkuu.
Ova
 
Wala hakuna shida ni vile TU tumejawa na fikra duni na kudhani kila kitu lazima kifanane. Mara jezi sijui mbovu mara matangazo na blah blah nyingi. Sasa kama yeye atatoa pesa nyingi Kwa matangazo yake hayo.,mnatakaje?

Kama unaona hizo nyingine ndio nzuri, kanunue hizo. Kila kukicha Simba, Simba. Simba that, Simba this, Simba there! Idiots!

Hamna familia za kulisha huko majumbani. Mnarefuka makende TU kila saa. Be men! Yaani mnageuka wambea ghafla. Sijui mnawezaje kuwa hivyo mlivyo!

Aghaghaaa!
Mkuu bado hujasema....
 
Back
Top Bottom