Mdakuzi
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,294
- 6,872
Unadhani Yanga madudu hakuna? Yapo mengi sana. Ukiwaza Yanga hakuna madudu utakuwa umejikosea sana b...Hayo ni kwa vilabu imara vyenye uongozi bora na precisely nje huko sio hapa.
Na kwa kasumba hiyo ndio maana madudu huko kwenu hayaishi! Mara pesa za usajili zinapigwa watu wanaleta wachezaji wabovu ili wapige 10% zao.
Kutokana na hayo ndio maana timu inazidi kuyumba maana nani msafi wa kumrushia mawe mwenzie? Mdhamini anapiga kwenye matangazo na ruzuku za mashindano.
Watendaji wanapiga kwenye sajili…
Ripoti gani ya mkutano mkuu ya kueleweka? Kila mwaka deni linazidi kuwa kubwa kuliko lile lililoahidiwa kuwekwa kwenye account kama mauziano ya hisa kukamilisha mchakato mpya ndani ya klabu.
Huu mjadala ni mpana b…
Tutakesha!
Ova