Mchambuzi Farhan: Simba wametupiga kwenye jezi

Mchambuzi Farhan: Simba wametupiga kwenye jezi

Nadhani kuanzia group stages CAF wana wadhamini wao kwa hiyo clubs hazitakiwi kuweka nembo za mdhamini yeyote.
 
Hakuna shida Acha mahaba mkuu. Umewahi kuona jezi ina matangazo mawili yanayofanana tena ndani ya sehemu moja. Kama ni jambo la kawaida basi wangweka hata kwa nyuma chini ya kola sio mbele kaka. Fikiria nje ya box
Ile visit Tanzania ilikua na tija gani kwa timu??? Kwa miaka minne mfululizo hata mbuni hatupati wakati kunamtu anatoa hela zake kujazia bajeti inapokwama tena kwamapenzi yke!! si bora akae huyo kuliko Tanapa wasioipa hata mwaliko timu kwenda mbugani
 
Bila ushabiki, ufafanuzi wahitajika juu ya mkanganyiko huu kwenye jezi mpya.

Wadhamini wamekosekana? Au udhamini wa Mo Extra ni kiasi gani?

Sisi mwaka jana mambo yalikuwa wazi juu ya Haier, mbona kwenu hakuna uwazi?

Mdakuzi
Mwaka huu whizmo anatoa kiasi gani?
 
Mashabiki wa Simba wana ugonjwa wa kulalamika.
kabisa kaka nikikumbuka simba haijawahi kutengemaa kabisa, nakumbuka Simba ya UKAWA, Kilomoni, Kigwangara tena Kilomon na Kigwangar walianza kuivuruga Simba ikiwa kwenye ubora wake adhamini km wote mpira mwingi, haya hawa wa sasa wamejawa na gubu lakini ukiuliza Mbet kakubaliana nini na Mo kuhusu kumbadili kifuani hakuna mwenye jibu kifuani ni haki ya Mbet ila kwa kanuni za CAF hawekwi ila haimfutii umiliki
 
Ndio maana wanaita Simba Makolo yaani viongozi wengi, haieleweki timu inaongozwa na Rais wa heshima au Mwenyekiti wa bodi au mwenyekiti wa Klabu au anaongoza CEO?

Timu imeshindwa kuleta wadhamini wapya? Na haieleweki waliopo (ukiacha Mbet) hatujui MO extra analipa bei gani
Au ndiyo Mbuzi wa Bwana mwamedi Kala kwenye shamba la mwamedi
 
Wanaishi kishikaji
 
Kuna ile ya yanga ya njano na nyeusi

Sijawahi kununua jezi ya yanga nail haitokaa itokee ila 😁😁😁😁😁

Wanangu mnaenjoy jezi kali
 
Back
Top Bottom