Mdogo wangu tulia, hamjasema bado, hebu kauaangalie uzi wa wananchi, mweeeBila ushabiki, ufafanuzi wahitajika juu ya mkanganyiko huu kwenye jezi mpya.
Wadhamini wamekosekana? Au udhamini wa Mo Extra ni kiasi gani?
Sisi mwaka jana mambo yalikuwa wazi juu ya Haier, mbona kwenu hakuna uwazi?
Mdakuzi
Daah mtafanya Sunderland kula hasaraJezi kununua una ona aibu!
Bora watu mkanunue jezi ya Yanga ata kama ni mpinzani ila ana jezi kali, kila mwaka anatoa kitu kizito sana...!
Huku Simba hakupo shwari kabisa kuna tatizo kuanzia Jezi kuwa na mvito mpaka mpira wenyewe papatu papatu...
Jezi papatu
Pira papatu
Kilakitu papatu
Hajui thamani ya mbele ya jeziHakuna shida Acha mahaba mkuu. Umewahi kuona jezi ina matangazo mawili yanayofanana tena ndani ya sehemu moja. Kama ni jambo la kawaida basi wangweka hata kwa nyuma chini ya kola sio mbele kaka. Fikiria nje ya box
AahaaaJezi kununua una ona aibu!
Bora watu mkanunue jezi ya Yanga ata kama ni mpinzani ila ana jezi kali, kila mwaka anatoa kitu kizito sana...!
Huku Simba hakupo shwari kabisa kuna tatizo kuanzia Jezi kuwa na mvito mpaka mpira wenyewe papatu papatu...
Jezi papatu
Pira papatu
Kilakitu papatu
Mashabiki wa Simba wana ugonjwa wa kulalamika.Wala hakuna shida ni vile TU tumejawa na fikra duni na kudhani kila kitu lazima kifanane. Mara jezi sijui mbovu mara matangazo na blah blah nyingi. Sasa kama yeye atatoa pesa nyingi Kwa matangazo yake hayo.,mnatakaje?
Kama unaona hizo nyingine ndio nzuri, kanunue hizo. Kila kukicha Simba, Simba. Simba that, Simba this, Simba there! Idiots!
Hamna familia za kulisha huko majumbani. Mnarefuka makende TU kila saa. Be men! Yaani mnageuka wambea ghafla. Sijui mnawezaje kuwa hivyo mlivyo!
Aghaghaaa!
,Kunywa MoExtra kwanza
Mliwatesa sana ....miaka iliyopita ...now it's ur turnsNgoja nifunge mdomo nisije nikanyeshewa mvua za matusi na wahafidhina,na ni vile tu siwez kuhama timu i would have done it a year ago!!mautopolo yanatupiga mno sio siri ni vile tunajikaza kisabuni ila simba kwa sasa hatuko vizuri japo ndio kujifunza kwenyewe
Itasaidia kwa baadae acha tupate hasara kwa sasa kwa faida ya baadae.Tutaingiza hasara kampuni
very true,najiulizaga kwa rangi za simba tunashindwa vip kubuni uzi wa karne!?Mliwatesa sana ....miaka iliyopita ...now it's ur turns
Ngoja niseme kitu b..., sisi mashabiki wa hizi timu tukianza kupekua pekua haya mambo hadi ya wadhamini wa jezi tutajinyang'anya nafasi yetu ya kuwa mashabiki wa mpira wa miguu.Bila ushabiki, ufafanuzi wahitajika juu ya mkanganyiko huu kwenye jezi mpya.
Wadhamini wamekosekana? Au udhamini wa Mo Extra ni kiasi gani?
Sisi mwaka jana mambo yalikuwa wazi juu ya Haier, mbona kwenu hakuna uwazi?
Mdakuzi
Mkuu bado hujasema....Wala hakuna shida ni vile TU tumejawa na fikra duni na kudhani kila kitu lazima kifanane. Mara jezi sijui mbovu mara matangazo na blah blah nyingi. Sasa kama yeye atatoa pesa nyingi Kwa matangazo yake hayo.,mnatakaje?