Mchambuzi gani wa soka unamkubali hapa Tanzania?

Simkubali yeyote.. Labda zamani sasahv nafahamunvingi kuliko wao via internet na kufuatilia mwenyewe ligi mbalimbali.

Zamani wakiwa wanachambua hasa dokta lleakey niliwaona noma balaa.
 
Asante kwa kuwa mkweli bro
George ambangile yule jamaa nimemfollow kote namfuatilia sana, yaani anachambua mechi sio kusimulia Kama kumwembe.

Big up

George namwelewa sana, sipatagi muda sana wa kusikiliza radio au kuangalia TVs, ila kwa kiasi ninachosikiliza, inatosha kujua kwamba jamaa yuko miles nyingi mbele ya wenzake.

Toka ameondoka Magic sijawahi tena kuisikiliza.
 
Dr.Leaky hajua technicalities za mpira, alikuwa anatoa historia tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndio hujui huwezi kuchambua kitu kama hukijui Dr Leak ni Mtalaamu ,nyie ndio mnawasikiliza kina Mbwiga,Zembwela [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dr .Leak hata gharama za ujenzi wa viwanja anakuambia ukigoogle unakuta sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…