Mchambuzi gani wa soka unamkubali hapa Tanzania?

Mchambuzi gani wa soka unamkubali hapa Tanzania?

Ambangile yeye huwa anaeleza kwanini team Fulani imefungwa au kupoteza, ilipotezaje., na mchezaji gani Ali switch mfumo, formation za team zote mbili, tactical za team walizoanza nazo..!

Hanaga mambo ya kina kumwembe sijui rafiki yangu ajibu..!

Wasafi wamepata kichwa cha ukweli
 
Sasa mkuu tangu lini kiemba akawa mchambuzi, labda anachambua bange

Unajua kwenye haya mambo inategemea na kipi unachotaka kukisikia, unachojua, na kama hauko kiushabiki au la.

Kiemba huwa mara chache ukimsikia kwenye buildup ya games local anafanya vyema sana, sijui labda ni vile sifatilii game za ndani, ila Kiemba namwelewa pia.
 
Binafsi huwa sisikilizi radio wala kuangalia TV except wakati naangalia mechi tu, ikiwa HT kama nipo bandani natoka nje kama ni home nabadilisha channel. Baada ya mechi sisikilizi uchambuzi wa mtu nakuwa tayari nina majibu yangu.
 
Sasa mkuu tangu lini kiemba akawa mchambuzi, labda anachambua bange
Umemsikiliza au unamchukulia powa tu?
Au una chuki nae binafsi?
Nahisi haujamsikiliza.
Nahisi una mhukumu sababu ya kufuga dread locks (rasta) kitu ambacho ni prejudice au tuite bad perception bila kuwa na taarifa sahihi. Usimhukumu mtu kwa muonekanao.
Usimhukumu mtu kwa kuangalia taarifa zake za zamani, watu hubadilika sana.

FYI, Barack Obama and Bill Clinton smoked pot too. Smoking pot doesn't mean you know nothing.
How do you rate yourself comparing to pot smokers like The Late Bob Marley and the public figures mentioned above?
 
Unajua kwenye haya mambo inategemea na kipi unachotaka kukisikia, unachojua, na kama hauko kiushabiki au la.

Kiemba huwa mara chache ukimsikia kwenye buildup ya games local anafanya vyema sana, sijui labda ni vile sifatilii game za ndani, ila Kiemba namwelewa pia.
Mechi za ndani sio mpenzi kabisa.
Niliposema kibiashara yule mdau hakunielewa, nilimaanisha namna ya kuendesha soka kibiashara na kisasa zaidi. Huwa Kiemba anaongea hoja na mifano mizuri sana. Pia kuhusu technical stuff za ndani na nje ya uwanja yupo vizuri, mara ya kwanza kumsikia nilishangazwa sana na uwezo wake maana mwanzo nilimchulia kawaida sana kama mdau alivyo mdharau kwa muenekano wake.
Kuanzia sasa mfuatilie akiwa anachambua game za kimataifa za Africa na za Ulaya utamuelewa zaidi.
The guy is good, trust me.
 
Yule sio mchambuzi wa soka, ni mtoa historia ya matukio , vituko na vichekesho vya vinavyohusu soka, timu za soka na wanasoka..
Kwa hayo hana mpinzani toka enzi hizo hadi sasa.
Hahaahaa
 
Najikubali mwenyewe tu. Nikiangalia mpira mwenyewe na analyse.Sihitaji mchambuzi. Mimi mwenyewe nachambua.
Ha haaa ..
Maisha ni kujikubali mwenyewe ndipo utakubalika na wengine.
Anyway itabidi unialike leo tukaangalie wote mechi ya Liverpool FC Vs Everton FC a.k.a Merseyside derby unichambulie niangalie kama ulicho sema ni sahihi.
 
Mechi za ndani sio mpenzi kabisa.
Niliposema kibiashara yule mdau hakunielewa, nilimaanisha namna ya kuendesha soka kibiashara na kisasa zaidi. Huwa Kiemba anaongea hoja na mifano mizuri sana. Pia kuhusu technical stuff za ndani na nje ya uwanja yupo vizuri, mara ya kwanza kumsikia nilishangazwa sana na uwezo wake maana mwanzo nilimchulia kawaida sana kama mdau alivyo mdharau kwa muenekano wake.
Kuanzia sasa mfuatilie akiwa anachambua game za kimataifa za Africa na za Ulaya utamuelewa zaidi.
The guy is good, trust me.
Kiemba anachambua redio au tv gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha haaa
Hapana mkuu.
Naomba umsikilize Sports Round-up ila jpili saa 7 mchana pale Clouds FM.
Au siku zingine anakuwepo saa 3 usiku hapo hapo CMG.
Duh kiemba anafanya kazi clouds FM siku hizi salaleee.!
 
Back
Top Bottom