Sio wewe ndo huyo kiemba kweli??
Alifanya analysis vizuri lakini?Yes, mara chache nimemsikia. Juzi kwenye buildup ya Liverpool vs Sheffield United nilimsikia na hata buildup ya Leicester vs Liverpool nilipata muda wa kumsikiliza.
Sasa mkuu tangu lini kiemba akawa mchambuzi, labda anachambua bange,[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hivi ninyi watu wa jf mnashida gani jamani??
Sent using Jamii Forums mobile app
Alifanya analysis vizuri lakini?
Ha haaaSio wewe ndo huyo kiemba kweli??
Sasa mkuu tangu lini kiemba akawa mchambuzi, labda anachambua bange
Umemsikiliza au unamchukulia powa tu?Sasa mkuu tangu lini kiemba akawa mchambuzi, labda anachambua bange
Mechi za ndani sio mpenzi kabisa.Unajua kwenye haya mambo inategemea na kipi unachotaka kukisikia, unachojua, na kama hauko kiushabiki au la.
Kiemba huwa mara chache ukimsikia kwenye buildup ya games local anafanya vyema sana, sijui labda ni vile sifatilii game za ndani, ila Kiemba namwelewa pia.
HahaahaaYule sio mchambuzi wa soka, ni mtoa historia ya matukio , vituko na vichekesho vya vinavyohusu soka, timu za soka na wanasoka..
Kwa hayo hana mpinzani toka enzi hizo hadi sasa.
Dr riki ndio nani??
Ha haaa ..Najikubali mwenyewe tu. Nikiangalia mpira mwenyewe na analyse.Sihitaji mchambuzi. Mimi mwenyewe nachambua.
Kiemba anachambua redio au tv gani?Mechi za ndani sio mpenzi kabisa.
Niliposema kibiashara yule mdau hakunielewa, nilimaanisha namna ya kuendesha soka kibiashara na kisasa zaidi. Huwa Kiemba anaongea hoja na mifano mizuri sana. Pia kuhusu technical stuff za ndani na nje ya uwanja yupo vizuri, mara ya kwanza kumsikia nilishangazwa sana na uwezo wake maana mwanzo nilimchulia kawaida sana kama mdau alivyo mdharau kwa muenekano wake.
Kuanzia sasa mfuatilie akiwa anachambua game za kimataifa za Africa na za Ulaya utamuelewa zaidi.
The guy is good, trust me.
Duh kiemba anafanya kazi clouds FM siku hizi salaleee.!Ha haaa
Hapana mkuu.
Naomba umsikilize Sports Round-up ila jpili saa 7 mchana pale Clouds FM.
Au siku zingine anakuwepo saa 3 usiku hapo hapo CMG.
Jamani msikieni huyu mjinga..!Najikubali mwenyewe tu. Nikiangalia mpira mwenyewe na analyse.Sihitaji mchambuzi. Mimi mwenyewe nachambua.