Mchambuzi gani wa soka unamkubali hapa Tanzania?

Simkubali yeyote.. Labda zamani sasahv nafahamunvingi kuliko wao via internet na kufuatilia mwenyewe ligi mbalimbali.

Zamani wakiwa wanachambua hasa dokta lleakey niliwaona noma balaa.
Mchawi ni information tu

Wachambuzi wa bongo wanacheza na takwimu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilichogundua kutoa analysis sio ishu. Ishu ni ku represent hiyo analys yako ndo shida.
uwasilishaji mpaka watu waelewe ndo soo

Yes, hapa ndipo utofauti ulipo.

Utakuta watu wawili wanazungumza kitu kimoja ila mmoja ueleweshaji wake unakuwa mzuri tofauti na mwingine.
 
Sioni Geof Lea na Shaffih Dauda wakitajwa, kwani wana shida gani wale vijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…