Mchambuzi Oscar Oscar wa EFM: Malalamiko ya Kipuuzi ya Kocha wa Orlando Pirates FC hayayahusu Simba SC hata kidogo na popote pale

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
"Kocha wa Orlando Pirates FC amelalamika kuhusu kupata Usumbufu Uwanja wa Ndege hayo ni ya UHAMIAJI na siyo Simba SC, Kocha wa Orlando Pirates FC amelalamika kucheleweshwa Barabarani hayo ni Masuala ya Jeshi la Police na siyo Simba SC, Kocha wa Orlando Pirates FC amelalamika kuhusu Hoteli waliyoifikia hayo ni Masuala ya Wao na Wamiliki wa Hoteli na hayaihusu Simba SC na Kocha wa Orlando Pirates FC amelalamika ile Penati ambayo Mimi nasema ni ya halali hivyo kama ni lawama Orlando Pirates FC wamalizane na Mwamuzi (Referee) na siyo Simba SC kwani haihusiki.

Ukweli ni kwamba Simba SC sasa imeshakuwa Matured na haina muda wa Kulalamika kwani hata Wao pia wakienda nchi za Watu hufanyiwa Hujuma na Visa vingi sana sema huenda kutokana na Unafiki na Unazi Wetu Watanzania hili huwa hatuliongelei na sasa ifike wakati Timu zote zinazokuja Kucheza Tanzania zikifungwa zikubali Matokeo na siyo kuja na Lawama za Kipuuzi na za Kitoto
" Oscar Oscar Mchambuzi wa Michezo EFM Radio leo katika Kipindi cha Michezo cha Sports Headquarters.

Tunahitaji Wachambuzi kama huyu TZA.
 
Leo amejitahidi 😂😂
 
Subiri kamati ya malalamiko wenyewe wa kulalamika waje hapa kumwaga povu hata kuhusu VAR ilimradi tu wamelalamika kama kawaida yao. Nawazungumzia Orlando Pirates jamani.
Yaani huwa wanalalamika balaa tushukuru VAR la sivyo wangekuwa tff sahiz[emoji23][emoji23][emoji23]kuwatetea wageni wao[emoji23][emoji23]
 
"Kocha wa Orlando Pirates FC amelalamika kuhusu kupata Usumbufu Uwanja wa Ndege hayo ni ya UHAMIAJI na siyo Simba SC, Kocha wa Orlando Pirates FC amelalamika kucheleweshwa Barabarani hayo ni Masuala ya Jeshi la Police na siyo Simba SC, Kocha wa Orlando Pirates FC amelalamika kuhusu Hoteli waliyoifikia hayo ni Masuala ya Wao na Wamiliki wa Hoteli na hayaihusu Simba SC na Kocha wa Orlando Pirates FC amelalamika ile Penati ambayo Mimi nasema ni ya halali hivyo kama ni lawama Orlando Pirates FC wamalizane na Mwamuzi (Referee) na siyo Simba SC kwani haihusiki.

Ukweli ni kwamba Simba SC sasa imeshakuwa Matured na haina muda wa Kulalamika kwani hata Wao pia wakienda nchi za Watu hufanyiwa Hujuma na Visa vingi sana sema huenda kutokana na Unafiki na Unazi Wetu Watanzania hili huwa hatuliongelei na sasa ifike wakati Timu zote zinazokuja Kucheza Tanzania zikifungwa zikubali Matokeo na siyo kuja na Lawama za Kipuuzi na za Kitoto
" Oscar Oscar Mchambuzi wa Michezo EFM Radio leo katika Kipindi cha Michezo cha Sports Headquarters.

Tunahitaji Wachambuzi kama huyu TZA.
Oscar Oscar ana akili, licha ya kwamba yeye ni Yanga lakini huwa haiongelei vibaya Simba
 
Tatizo sio akili yake bali ni akili ya waliomtilia sumu, enewei ngoja tuendelee kula mtori tu 😂😂
 
Back
Top Bottom