Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Ni kweli kabisa maana siku hizi umekuwa sheikh Yahaya [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] Sababu ya bro wangu wewe kuupenda uchambuzi huo hadi wewe mwenyewe unaijua...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli kabisa maana siku hizi umekuwa sheikh Yahaya [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] Sababu ya bro wangu wewe kuupenda uchambuzi huo hadi wewe mwenyewe unaijua...
Matarajio yake yamekuwa kinyumembeleKwanini Yanga ndiyo mlalamikaji sana
Matarajio yake yamekuwa kinyumembeleKwanini Yanga ndiyo mlalamikaji sana
😂 😂 😂 Aaagh wapi..!!! Usheikh Yahaya niufanyie kwako bro..!!??Ni kweli kabisa maana siku hizi umekuwa sheikh Yahaya [emoji23]
Akiongea ubaya wenu uje hapa kumsifia pia.Na ndiyo Mchambuzi mwenye Akili kwa sasa Tanzania japo ni Mshabiki mkubwa wa Yanga SC, Real Madrid na Chelsea FC.
Kwani kamati ya mapokezi ilikuwa wapi?Haya ukiyasema kama hivi na wewe tarajia majibu hayohayo ukienda ugenini na kutetendewa mabaya. Ni umbumbumbu kudhani kwamba dhamana ya mapokezi na huduma Kwa timu pinzani inakuwa mikononi mwa mamlaka ya nchi na siyo timu mwenyeji. Sikutegemea mchambuzi anayejulikana kama Oscar asijue Simba kama mwenyeji anahusikaje na mapokezi ya wageni wao.
Mbona watanzania ni wasahaulifu kiasi hiki? Malalamiko hayo kama yana ukweli yakemewe yasirudiwe lakini Simba kujivua uwajinikaji ni kichekesho. Mara ngapi tumewasikia Simba, Yanga, au hata Taifa stars wakilalamikia vitendo vya hujuma wanapokwenda ugenini hasa nchi za Kiarabu? Kwa nini huwa hamuwalaumu uhamiaji au Polisi wa nchi husika badala yake mnalaumu Wapinzani wenu?
Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
Baba yako amewahi kufika? kolo wewMpaka unazeeka kwa Madiba utapasikia tu, hapo ulipo ukute hata Dar es Salaam tu hujawahi kufika.
Watu wa Jf bwana
Hizo akili wanazo utopolo tu. Wageni wakija bongo utopolo huwa wanawapokea kwa mbwembwe . Sasa waulize , walipokwenda Nigeria nao walipokelewa na wanaijeria kwa mbwembwe kama wanavyowapokea wao? Zaidi tulisikia kilio tu kwamba wanahujumiwa.Najiuliza tu.
Hivi simba akienda sauzi akafanyiwa hujuma kuna mcha mbuzi yeyote wa sauzi atajitokeza kuwatetea Simba?
Na Orlando pirates wakija kupewa penalty kimakosa atajitokeza mchambuzi wa sauzi kuitetea Simba?
Ndomaana hajaja kuropoka kama ulivyolopoka wewe, eti "tukutane kwa madiba"😂Baba yako amewahi kufika? kolo wew
Kwakuwa aliyekuwa Kocha wao Mkuu Luc Eymael Raia wa nchini Ubelgiji aliwaambia ( ipo YouTube ) kuwa Yanga SC wote ni Nyani, Sokwe na Mbwa.Kwanini Yanga ndiyo mlalamikaji sana
Ninakubaliana nawe kwa hili tena 100%.Yanga wote ni mataahira
Hahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] Aaagh wapi..!!! Usheikh Yahaya niufanyie kwako bro..!!??
We Punguani wa Akili, wapi kanuni ya CAF inasema jukumu la mapokezi na huduma ni kwa mwenyeji..!?Haya ukiyasema kama hivi na wewe tarajia majibu hayohayo ukienda ugenini na kutetendewa mabaya. Ni umbumbumbu kudhani kwamba dhamana ya mapokezi na huduma Kwa timu pinzani inakuwa mikononi mwa mamlaka ya nchi na siyo timu mwenyeji. Sikutegemea mchambuzi anayejulikana kama Oscar asijue Simba kama mwenyeji anahusikaje na mapokezi ya wageni wao.
Mbona watanzania ni wasahaulifu kiasi hiki? Malalamiko hayo kama yana ukweli yakemewe yasirudiwe lakini Simba kujivua uwajinikaji ni kichekesho. Mara ngapi tumewasikia Simba, Yanga, au hata Taifa stars wakilalamikia vitendo vya hujuma wanapokwenda ugenini hasa nchi za Kiarabu? Kwa nini huwa hamuwalaumu uhamiaji au Polisi wa nchi husika badala yake mnalaumu Wapinzani wenu?
Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
Nimeumizwa sana na msiba wa TumaNi matumaini yangu kuwa Taarifa za Msiba mzito wa Tumaini Mkono unazo Ndugu. Juzi na Jana nikiwa na Yule Rafiki yako wa hapa JamiiForums aliyeko Kifungoni sasa kwa Sheria za Moderators wa JamiiForums tumeshinda mno hapo kwa Mzee Juma ( Mbezi Juu ) na akina Wazee Brigedia Mstaafu Profesa Kohi, Kanali Mstaafu Mugwe na Walevi Wenzako akina Emanuel, Stewart, John na Oswald.
wewe ni ng'ombe kweli, unajua kama jamaa walidanganya muda kuja tz??? walisema watakuja asubuhi wakaja saa 7 usiku, wakapewa costa wakagoma kupanda, wakapelekwa hotelini wakaigomea wakatokomea kusikojulikana na wenyeji wao akina senzo, abdi banda,manara na geofrey leah. foleni ya dar unaijua?? kidogo wachelewe hadi mechi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Haya ukiyasema kama hivi na wewe tarajia majibu hayohayo ukienda ugenini na kutetendewa mabaya. Ni umbumbumbu kudhani kwamba dhamana ya mapokezi na huduma Kwa timu pinzani inakuwa mikononi mwa mamlaka ya nchi na siyo timu mwenyeji. Sikutegemea mchambuzi anayejulikana kama Oscar asijue Simba kama mwenyeji anahusikaje na mapokezi ya wageni wao.
Mbona watanzania ni wasahaulifu kiasi hiki? Malalamiko hayo kama yana ukweli yakemewe yasirudiwe lakini Simba kujivua uwajinikaji ni kichekesho. Mara ngapi tumewasikia Simba, Yanga, au hata Taifa stars wakilalamikia vitendo vya hujuma wanapokwenda ugenini hasa nchi za Kiarabu? Kwa nini huwa hamuwalaumu uhamiaji au Polisi wa nchi husika badala yake mnalaumu Wapinzani wenu?
Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
Iwe Fundusho kwa Walevi wa Pombe Kali ( Whiskey na Wine ) kuwa mkiwa mnazifakamia basi pia muwe mnajitahidi kuhakikisha mnakulae. Tumaini Mkono ametuuma Wengi hasa kutokana na tabia yake ya Upendo, Utu na kupenda Kujichanganya na Watu pamoja na kwamba ndiye alikuwa Confidant wa Mzee Nimrod Elirehema Mkono.Nimeumizwa sana na msiba wa Tuma
Huyo Jamaa Bila bila ni Punguani sana..!wewe ni ng'ombe kweli, unajua kama jamaa walidanganya muda kuja tz??? walisema watakuja asubuhi wakaja saa 7 usiku, wakapewa costa wakagoma kupanda, wakapelekwa hotelini wakaigomea wakatokomea kusikojulikana na wenyeji wao akina senzo, abdi banda,manara na geofrey leah. foleni ya dar unaijua?? kidogo wachelewe hadi mechi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]