Mchambuzi Oscar Oscar wa EFM: Malalamiko ya Kipuuzi ya Kocha wa Orlando Pirates FC hayayahusu Simba SC hata kidogo na popote pale

Kwani kamati ya mapokezi ilikuwa wapi?
We mwenyewe ni mjumbe wa kamati ya mapokezi . Ulikuwa wapi wakati wageni wanaagaika mjini kiasi hicho?

Kwa hili Yanga mumetukosea Sana. Tulishakubalia , nyie ndo kamati ya mapokezi , halafu mnaanza tena kulialia humu wakati tuliwapa mamlaka ya kupokea wageni.

Makosa kama haya yasijirudie tena.
 
Najiuliza tu.
Hivi simba akienda sauzi akafanyiwa hujuma kuna mcha mbuzi yeyote wa sauzi atajitokeza kuwatetea Simba?

Na Orlando pirates wakija kupewa penalty kimakosa atajitokeza mchambuzi wa sauzi kuitetea Simba?
Hizo akili wanazo utopolo tu. Wageni wakija bongo utopolo huwa wanawapokea kwa mbwembwe . Sasa waulize , walipokwenda Nigeria nao walipokelewa na wanaijeria kwa mbwembwe kama wanavyowapokea wao? Zaidi tulisikia kilio tu kwamba wanahujumiwa.
 
We Punguani wa Akili, wapi kanuni ya CAF inasema jukumu la mapokezi na huduma ni kwa mwenyeji..!?

Umekaa kukariri tu mambo ya miaka 47 huko, huku ukidhani zile fedha ambazo wanatoa CAF kila hatua ukifika ni kwa ajili ya kunywa bia, na si kwa ajili ya huduma za usafiri pamoja Hotel.

Unadhani Simba SC aandae Hotel na Usafiri, achilia mbali Orlando Pirates kuna Klabu itakubali kwa wakati huu..! Wote akina Ahly, Chiefs, RS Berkane walijihudumia wenyewe, ambapo hata Simba SC wakienda nje wanajihudumia wenyewe.. Ndo maana Simba SC waliwapelekea Basi kubwa Orlando na walikataa.

Taarifa ya CEO wa Simba kasome uone uungwana waliofanyiwa Orlando japo kikanuni si lazima, lakini wao walikataa.

Zero Zero bhana..!
 
Nimeumizwa sana na msiba wa Tuma
 
wewe ni ng'ombe kweli, unajua kama jamaa walidanganya muda kuja tz??? walisema watakuja asubuhi wakaja saa 7 usiku, wakapewa costa wakagoma kupanda, wakapelekwa hotelini wakaigomea wakatokomea kusikojulikana na wenyeji wao akina senzo, abdi banda,manara na geofrey leah. foleni ya dar unaijua?? kidogo wachelewe hadi mechi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nimeumizwa sana na msiba wa Tuma
Iwe Fundusho kwa Walevi wa Pombe Kali ( Whiskey na Wine ) kuwa mkiwa mnazifakamia basi pia muwe mnajitahidi kuhakikisha mnakulae. Tumaini Mkono ametuuma Wengi hasa kutokana na tabia yake ya Upendo, Utu na kupenda Kujichanganya na Watu pamoja na kwamba ndiye alikuwa Confidant wa Mzee Nimrod Elirehema Mkono.

Naona sasa Watu wenu Wakubwa ( Waandamizi ) wa Kuwanunulieni Bia za Bure Mbezi Juu na Mbezi Beach yote Gwasu ( Kaka yake Diwani Athumani Bosi Mkuu UWT ) na Tumaini Mkono Mwenyezi Mungu ameshawapenda zaidi ( sasa ni Marehemu ) na kabakia Brigedia Mstaafu Profesa Kohi ambaye nae pia Bia zake za bure hunywi mpaka Umsifie kuwa ana Magari mazuri la sivyo Bia utazisikia Redioni tu huku ukipiga sana Miayo hapo katika Kibanda cha Happy Mhaya.

Anzeni kufanya Mazoezi ya Kunywa Gongo na Pombe Chafu hapo kwa nyuma Mitaa ya Ghuba ili mkishalewa kama mnavyolewaga hovyo na Kizembe muanze Kuwafakamia hao Mademu wa Kimakonde, Kingoni na Kimalawi wenye Ngoma ili tuwazikeni vizuri sawa?

Mwili wake ( Tumaini Mkono ) unawasili Ijumaa kutokea nchini Indian alikofia baada ya kwenda katika Matibabu yake na utalala Kwake Boko Basihaya ( California ) na Jumamosi baada ya Watu ( akina MINOCYCLINE ) Kumuaga utasafirishwa na Ndege kwenda Musoma Mkoani Mara kwa Maziko ya Siku ya Jumapili pale Kijijini Kwao Busugwe Wilayani Butiama.
 
Huyo Jamaa Bila bila ni Punguani sana..!

Orlando Pirates, walifanya mambo mengi ya hovyo sana lakini Simba SC wala hawakuhangaika nao, walivunja kanuni hata ya kuingia uwanjani kwa wao kuingia sehemu ya mlango mwingine.

Kocha wa Orlando ni kichaa, alishawahi kusema Ligi ya Afrika Kusini ni bora kuliko Michuano ya Afcon.

Halafu anatokea Punguani Waheed kutoka Uto anasema malalamiko yake Kocha yakemewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…