Mchambuzi: Simba bado wanacheza mpira wa ovyo

Walipogwa na but butwaa na tukio la Inonga
 
Tangu lini LABAN og amekuwa Mwanasimba? Yaani Utopolo akijifanya ni shabiki wa Simba na wewe unaamini? Huyu asikupotoshe, anajulikana kitambo yeye ni Uto na hajawahi kuona jema lolote kwa Simba.
 
Mashabiki wa Simba ni kero sana. Mimi naona mpewe timu muiendeshe kwa kila kitu. Hamna shukrani kabisa. Kazi tu kuwavunja moyo wachezaji, kocha, viongozi na wawekezaji. Kifupi hamfai kuwa Mashabiki katika ulimwengu uliostaarabika.
Mkuu, usitokwe povu kwasababu ya maoni ya Uto anayejifanya shabiki wa Simba. LABAN og anajulikana upande aliko, labda kama wewe ni mgeni hapa jukwaani.
 
Kama wapi? Acheni kushikiwa akili..
Hamkuona pale amewapa kona isiyo halali coastal?
Kwahyo ulitaka asimpe kadi nyekundu mtu aliemtengua mguu Verane?
Au ulitaka ile ya miquisone isiwe penalty?
Sasa si ndiyo nimekuambia umpongeze na yeye pia mwamuzi kwa kuchezesha vizuri!! Mbona unanifokea tena bibiye!!!
 
Unasinziaje ukiangalia mechi ya simba bar,nyie bar si mnafauata pisi kali tu...kila mechi simba anacheza kutokana na ukubwa wa mechi, ugumu,ushindani so ni kawaida cha msingi ni matokeo,mnataka simba icheze kama Arsenal?
 
Kama wapi? Acheni kushikiwa akili..
Hamkuona pale amewapa kona isiyo halali coastal?
Kwahyo ulitaka asimpe kadi nyekundu mtu aliemtengua mguu Verane?
Au ulitaka ile ya miquisone isiwe penalty?
Pale mpira ulimgonga mchezaji wa simba na ikawa kona
 
Itakuwa labda sema nao azam tv jana kamera zao zilikuwa na ukungu sana walizingua jana
Mi kwakweli niliangalia mara mbili walirudia mpk watangazaji wakasema mpira haujamgusa mtu...sema refa ndo hakuona...any way labda position ya camera
 
Wanashinda lakini hawana furaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…