Mchambuzi: Simba bado wanacheza mpira wa ovyo

Mchambuzi: Simba bado wanacheza mpira wa ovyo

Huna furahaa weyeee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Poleeee

IMG_5125.jpg
 
Simba bado wanacheza mpira wa hovyo

"Achana na idadi ya magoli yaliyofungwa na Simba leo,kwa aina ya timu iliyokutana nayo na aina ya mchezo ulivyokuwa ilikuwa ni nafasi ya kutupa mechi safi tofauti na hii tuliyoiona.Simba hii hata ukiangalia bar unasinzia"[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

SHAFFIH DAUDA,DIGALA.

NB: nafasi bado Iko wazi Kwa Makolo kwenda kupiga tuition pale jangwani View attachment 2757310
Walipogwa na but butwaa na tukio la Inonga
 
Simba ikishinda maneno ikifungwa maneno mashabiki sijui mnataka nini? Yaani simba ingecheza mpira wenu mnaofikiria kichwani ikafungwa naye pia mngelalamika yaani mtaitwa malalamiko fc yaani hakuna hata kuwatia moyo wachezaji wafanye vizuri malalamiko malalamiko kila uchao dah

Sent using Jamii Forums mobile app
Tangu lini LABAN og amekuwa Mwanasimba? Yaani Utopolo akijifanya ni shabiki wa Simba na wewe unaamini? Huyu asikupotoshe, anajulikana kitambo yeye ni Uto na hajawahi kuona jema lolote kwa Simba.
 
Mashabiki wa Simba ni kero sana. Mimi naona mpewe timu muiendeshe kwa kila kitu. Hamna shukrani kabisa. Kazi tu kuwavunja moyo wachezaji, kocha, viongozi na wawekezaji. Kifupi hamfai kuwa Mashabiki katika ulimwengu uliostaarabika.
Mkuu, usitokwe povu kwasababu ya maoni ya Uto anayejifanya shabiki wa Simba. LABAN og anajulikana upande aliko, labda kama wewe ni mgeni hapa jukwaani.
 
Kama wapi? Acheni kushikiwa akili..
Hamkuona pale amewapa kona isiyo halali coastal?
Kwahyo ulitaka asimpe kadi nyekundu mtu aliemtengua mguu Verane?
Au ulitaka ile ya miquisone isiwe penalty?
Sasa si ndiyo nimekuambia umpongeze na yeye pia mwamuzi kwa kuchezesha vizuri!! Mbona unanifokea tena bibiye!!!
 
Simba bado wanacheza mpira wa hovyo

"Achana na idadi ya magoli yaliyofungwa na Simba leo, kwa aina ya timu iliyokutana nayo na aina ya mchezo ulivyokuwa ilikuwa ni nafasi ya kutupa mechi safi tofauti na hii tuliyoiona.Simba hii hata ukiangalia bar unasinzia"[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

SHAFFIH DAUDA ,DIGALA.

NB: Nafasi bado Iko wazi Kwa Makolo kwenda kupiga tuition pale jangwani View attachment 2757310
Unasinziaje ukiangalia mechi ya simba bar,nyie bar si mnafauata pisi kali tu...kila mechi simba anacheza kutokana na ukubwa wa mechi, ugumu,ushindani so ni kawaida cha msingi ni matokeo,mnataka simba icheze kama Arsenal?
 
Kama wapi? Acheni kushikiwa akili..
Hamkuona pale amewapa kona isiyo halali coastal?
Kwahyo ulitaka asimpe kadi nyekundu mtu aliemtengua mguu Verane?
Au ulitaka ile ya miquisone isiwe penalty?
Pale mpira ulimgonga mchezaji wa simba na ikawa kona
 
Itakuwa labda sema nao azam tv jana kamera zao zilikuwa na ukungu sana walizingua jana
Mi kwakweli niliangalia mara mbili walirudia mpk watangazaji wakasema mpira haujamgusa mtu...sema refa ndo hakuona...any way labda position ya camera
 
Simba bado wanacheza mpira wa hovyo

"Achana na idadi ya magoli yaliyofungwa na Simba leo, kwa aina ya timu iliyokutana nayo na aina ya mchezo ulivyokuwa ilikuwa ni nafasi ya kutupa mechi safi tofauti na hii tuliyoiona.Simba hii hata ukiangalia bar unasinzia"[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

SHAFFIH DAUDA ,DIGALA.

NB: Nafasi bado Iko wazi Kwa Makolo kwenda kupiga tuition pale jangwani View attachment 2757310
Wanashinda lakini hawana furaha.
 
Back
Top Bottom