clinical pharmacology2
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,387
- 2,516
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walipogwa na but butwaa na tukio la InongaSimba bado wanacheza mpira wa hovyo
"Achana na idadi ya magoli yaliyofungwa na Simba leo,kwa aina ya timu iliyokutana nayo na aina ya mchezo ulivyokuwa ilikuwa ni nafasi ya kutupa mechi safi tofauti na hii tuliyoiona.Simba hii hata ukiangalia bar unasinzia"[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
SHAFFIH DAUDA,DIGALA.
NB: nafasi bado Iko wazi Kwa Makolo kwenda kupiga tuition pale jangwani View attachment 2757310
Mi ni Yanga lialia ila nakupingaMimi ni Simba lialia ila kaongea ukweli
Tangu lini LABAN og amekuwa Mwanasimba? Yaani Utopolo akijifanya ni shabiki wa Simba na wewe unaamini? Huyu asikupotoshe, anajulikana kitambo yeye ni Uto na hajawahi kuona jema lolote kwa Simba.Simba ikishinda maneno ikifungwa maneno mashabiki sijui mnataka nini? Yaani simba ingecheza mpira wenu mnaofikiria kichwani ikafungwa naye pia mngelalamika yaani mtaitwa malalamiko fc yaani hakuna hata kuwatia moyo wachezaji wafanye vizuri malalamiko malalamiko kila uchao dah
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, usitokwe povu kwasababu ya maoni ya Uto anayejifanya shabiki wa Simba. LABAN og anajulikana upande aliko, labda kama wewe ni mgeni hapa jukwaani.Mashabiki wa Simba ni kero sana. Mimi naona mpewe timu muiendeshe kwa kila kitu. Hamna shukrani kabisa. Kazi tu kuwavunja moyo wachezaji, kocha, viongozi na wawekezaji. Kifupi hamfai kuwa Mashabiki katika ulimwengu uliostaarabika.
Uto utamjua tu, hata ajaribu kujificha namna gani!!Mimi ni Simba lialia ila kaongea ukweli
Mbna unawakosea heshima majogoo!!!!hao ni panya bukuMnahangaika kama majogoo...
Kama wapi? Acheni kushikiwa akili..Vipi na Arajiga! Mbona hujamtaja!! Na yeye pia amechezesha vizuri sana.
Sasa si ndiyo nimekuambia umpongeze na yeye pia mwamuzi kwa kuchezesha vizuri!! Mbona unanifokea tena bibiye!!!Kama wapi? Acheni kushikiwa akili..
Hamkuona pale amewapa kona isiyo halali coastal?
Kwahyo ulitaka asimpe kadi nyekundu mtu aliemtengua mguu Verane?
Au ulitaka ile ya miquisone isiwe penalty?
Unasinziaje ukiangalia mechi ya simba bar,nyie bar si mnafauata pisi kali tu...kila mechi simba anacheza kutokana na ukubwa wa mechi, ugumu,ushindani so ni kawaida cha msingi ni matokeo,mnataka simba icheze kama Arsenal?Simba bado wanacheza mpira wa hovyo
"Achana na idadi ya magoli yaliyofungwa na Simba leo, kwa aina ya timu iliyokutana nayo na aina ya mchezo ulivyokuwa ilikuwa ni nafasi ya kutupa mechi safi tofauti na hii tuliyoiona.Simba hii hata ukiangalia bar unasinzia"[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
SHAFFIH DAUDA ,DIGALA.
NB: Nafasi bado Iko wazi Kwa Makolo kwenda kupiga tuition pale jangwani View attachment 2757310
Pale mpira ulimgonga mchezaji wa simba na ikawa konaKama wapi? Acheni kushikiwa akili..
Hamkuona pale amewapa kona isiyo halali coastal?
Kwahyo ulitaka asimpe kadi nyekundu mtu aliemtengua mguu Verane?
Au ulitaka ile ya miquisone isiwe penalty?
Hawa wanakasirika sana ukiwapa ukweli tu wanapata makasirikoSasa si ndiyo nimekuambia umpongeze na yeye pia mwamuzi kwa kuchezesha vizuri!! Mbona unanifokea tena bibiye!!!
Mi kwakweli niliangalia mara mbili walirudia mpk watangazaji wakasema mpira haujamgusa mtu...sema refa ndo hakuona...any way labda position ya cameraPale mpira ulimgonga mchezaji wa simba na ikawa kona
Haya sawa baba..Sasa si ndiyo nimekuambia umpongeze na yeye pia mwamuzi kwa kuchezesha vizuri!! Mbona unanifokea tena bibiye!!!
Mi kwakweli niliangalia mara mbili walirudia mpk watangazaji wakasema mpira haujamgusa mtu...sema refa ndo hakuona...any way labda position ya camera
Wanashinda lakini hawana furaha.Simba bado wanacheza mpira wa hovyo
"Achana na idadi ya magoli yaliyofungwa na Simba leo, kwa aina ya timu iliyokutana nayo na aina ya mchezo ulivyokuwa ilikuwa ni nafasi ya kutupa mechi safi tofauti na hii tuliyoiona.Simba hii hata ukiangalia bar unasinzia"[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
SHAFFIH DAUDA ,DIGALA.
NB: Nafasi bado Iko wazi Kwa Makolo kwenda kupiga tuition pale jangwani View attachment 2757310
[emoji23]Sasa shafih dauda naye mchambuzi wa kumsikiliza utakuwa na kichaa wewe sio bure..
Sent using Jamii Forums mobile app