Mchambuzi: Yanga inaishi Kijima kwenye nyakati za Kibepari

Mchambuzi: Yanga inaishi Kijima kwenye nyakati za Kibepari

Lkn hatukuwahi watukana viongozi
Hujui mambo uliza uambiwe kijana mdogo usidanganyike na wachambuzi uchwara. Enzi za mwenyekiti wenu Lyod Nchunga mashabiki walikusanyika ili kumpindua mwenyekiti wenu kutokana na matokeo Mabaya. Lyod Nchunga alitishiwa sana na mwisho wa siku alijiuzulu uenyekiti. Simba ni wavumilivu kuliko nyinyi, mfano ni huo hapo wa mwenyekiti wenu kujiuzulu, kama ulikuwa hujui Google hilo jina uone habari utakazoletewa.
 
Acha na iwe hivyo wamesota sana sasa wanalunyasi acheni kisirani watani hakikisheni mnamtoa Mangungu na try agin hilo ndio swala mezani kwenu , wanasema mjini connection huwezi pata connection mpaka ujulikane , kujulikana ndio huanzia hapo kwenye kujipendekeza
 
Ila mi naona slogan yao ya " timu ya wananchi " kama inafanya kazi, maana matukio wanayofanya niya kienyeji na siyo mara moja,kuita watu wanywe supu ni kama visherehe vya kijijini ndani ndani huko.

Ukija upande wa Simba ni kama timu ya wenye nazo hamna njaa
 
Hujui mambo uliza uambiwe kijana mdogo usidanganyike na wachambuzi uchwara. Enzi za mwenyekiti wenu Lyod Nchunga mashabiki walikusanyika ili kumpindua mwenyekiti wenu kutokana na matokeo Mabaya. Lyod Nchunga alitishiwa sana na mwisho wa siku alijiuzulu uenyekiti. Simba ni wavumilivu kuliko nyinyi, mfano ni huo hapo wa mwenyekiti wenu kujiuzulu, kama ulikuwa hujui Google hilo jina uone habari utakazoletewa.
Simba ni wavumilivu mkuu,hata pamoja na matokeo mabovu hawajawahi kuacha kwenda uwanjani, yanga miaka 5 iliyopita watu walikuwa hawaendi uwanjani, timu ipate tu matokeo mabovu kama utawaona uwanjani
 
Hujui mambo uliza uambiwe kijana mdogo usidanganyike na wachambuzi uchwara. Enzi za mwenyekiti wenu Lyod Nchunga mashabiki walikusanyika ili kumpindua mwenyekiti wenu kutokana na matokeo Mabaya. Lyod Nchunga alitishiwa sana na mwisho wa siku alijiuzulu uenyekiti. Simba ni wavumilivu kuliko nyinyi, mfano ni huo hapo wa mwenyekiti wenu kujiuzulu, kama ulikuwa hujui Google hilo jina uone habari utakazoletewa.
Pole na sonona
 
Ni kweli .. na wamepata na mfadhili na Mwenyekiti Mswahili Ndio imezidisha ... wao Kila kitu ni tukio! Umeona picha za South Afrika ... Unaona kabisa mtu analazimisha apate picha!Ni ushamba lakini Ndio hivyo .. politics is about Who Get What, When and How!
Kuna watu niliwaambia miaka 2 iliyopita kuwa hii Yañga kama Simba hawata Reinvest ' tutapitwa ...na ziona dalili hizi! Kuna Wanasimba wanaweza kupinga hili lakini ni ukweli Mchungu!
Mswahili hana jambo dogo
 
Anaendelea......

"Yanga inayotembeza bakuli uwanjani kupata Bukubuku bado ilikuwa inapambana na kushika nafasi 2 za juu Ni spirit yao na maisha yao, Uliona walivyolihandle suala la Fei!? Ni kipenzi chao na alikuwa ndiye tegemeo la timu ila kilichofuata!? Wakaungana fasta kumgeuka!

Wana umoja kwenye nyakati nyingi mno! Kwao kumpoteza mchezaji wao kipenzi ni maisha... Watampiga nongwa weee kisha wataendelea na maisha yao! Si ajabu keshokutwa Fei akarudi pale na wakaishi naye kama hakuna lililowahi kutokea.

Jana wameita siku ya Supu sivyo!? Wamesajili wanachama na mashabiki wengine kuhuisha sajili zao! Wangeweza kuuza hao ng'ombe wa Supu ila wameamua kula na mashabiki wao.

Ni timu inayoishi kijima sana katikati ya nyakati za kibepari! Suala mnaloona ni dogo wao hulifanya kuwa kubwa na la tofauti.

Wakati fulani ni ngumu kuwaelewa ila amini umoja hujengwa na vitu viwili tu duniani! STAREHE na MATESO! Suala la bond hiyo kudumu ni kila mmoja anavyoupalilia upendo huo. Timu yao ina vinasaba vya uswahili/uafrika... Sigara 1 wanaweza kuvuta watu 6 alaf fresh tu!"
hahah hapo kwenye sigara sasa
 
Ila mi naona slogan yao ya " timu ya wananchi " kama inafanya kazi, maana matukio wanayofanya niya kienyeji na siyo mara moja,kuita watu wanywe supu ni kama visherehe vya kijijini ndani ndani huko.

Ukija upande wa Simba ni kama timu ya wenye nazo hamna njaa
Yanga hata uwanjani mashabiki wake wanauzuria kwa wingi zaid ya simba hata kipindi kile Yanga iko hoi bin taaban swala sio njaa ni mashabiki wa Yanga wanamuamko mkubwa na timu yao

Yaani kwenda supu tunaita uswahili mbona hiki ni kituko
 
Wasitupangie, sisi na mambo yetu kivyetuvyetu.
 
Kha!!!
 
Attachments

  • IMG-20231114-WA0003.jpg
    IMG-20231114-WA0003.jpg
    76.8 KB · Views: 3
Back
Top Bottom